Guru Granth Sahib Translation Project

Guru Granth Sahib Swahili Page 464

Page 464

ਵਿਸਮਾਦੁ ਪਉਣੁ ਵਿਸਮਾਦੁ ਪਾਣੀ ॥ vismaadpa-unvismaadpaanee. Ninastaajabu nikitazama kwamba mahali fulani upepo unavuma na kwingine maji yanatiririka,
ਵਿਸਮਾਦੁ ਅਗਨੀ ਖੇਡਹਿ ਵਿਡਾਣੀ ॥ vismaadagnee khaydeh vidaanee. Inastaajabisha, jinsi moto unavyoonyesha mwonyesho wake mwenyewe wa ajabu.
ਵਿਸਮਾਦੁ ਧਰਤੀ ਵਿਸਮਾਦੁ ਖਾਣੀ ॥ vismaadDhartee vismaadkhaanee. Ninastaajabu kwa furaha ninapotazama dunia hii ikitunza viumbe kutoka vyanzo vyote vya uhai.
ਵਿਸਮਾਦੁ ਸਾਦਿ ਲਗਹਿ ਪਰਾਣੀ ॥ vismaadsaadlageh paraanee. Inastaajabisha, jinsi wanadamu wanavyohusishwa katika kufurahia Baraka Zako.
ਵਿਸਮਾਦੁ ਸੰਜੋਗੁ ਵਿਸਮਾਦੁ ਵਿਜੋਗੁ ॥ vismaadsanjog vismaadvijog. Inastaajabisha mchakato ambao kwa kuupitia watu wanaunganishwa na kutenganishwa
ਵਿਸਮਾਦੁ ਭੁਖ ਵਿਸਮਾਦੁ ਭੋਗੁ ॥ vismaadbhukhvismaadbhog. Ee Mungu, ni vigumu kuamini kwamba mahali pengine kuna njaa nyingi mno na mahali pengine vitu vinafurahiwa kwa wingi.
ਵਿਸਮਾਦੁ ਸਿਫਤਿ ਵਿਸਮਾਦੁ ਸਾਲਾਹ ॥ vismaadsifatvismaadsaalaah. Mahali Fulani Muumba anasifiwa na kutukuzwa,
ਵਿਸਮਾਦੁ ਉਝੜ ਵਿਸਮਾਦੁ ਰਾਹ ॥ vismaadujharhvismaadraah. Kwingine kuna nyika ilhali kwingine kuna njia zilizotengenezwa vizuri. Inastaajabisha tu kuona mchezo huu Wako wa ajabu.
ਵਿਸਮਾਦੁ ਨੇੜੈ ਵਿਸਮਾਦੁ ਦੂਰਿ ॥ vismaadnayrhai vismaaddoor. Inastaajabisha kwamba mtu anasema kwa Wewe yu karibu; mwingine anasema kwamba Wewe upo mbali mno,
ਵਿਸਮਾਦੁ ਦੇਖੈ ਹਾਜਰਾ ਹਜੂਰਿ ॥ vismaaddaykhai haajraa hajoor. Wakati wengine pia wanakuona Wewe kando yao (ukienea kote).
ਵੇਖਿ ਵਿਡਾਣੁ ਰਹਿਆ ਵਿਸਮਾਦੁ ॥ vaykhvidaanrahi-aa vismaad. Nikitazama ajabu hizi, ninastaajabishwa.
ਨਾਨਕ ਬੁਝਣੁ ਪੂਰੈ ਭਾਗਿ ॥੧॥ naanak bujhanpoorai bhaag. ||1|| Ee Nanak, wale wanaoelewa ajabu hizi Zako wamebarikiwa na hatima kamili.
ਮਃ ੧ ॥ mehlaa 1. Salok, ya Guru wa Kwanza:
ਕੁਦਰਤਿ ਦਿਸੈ ਕੁਦਰਤਿ ਸੁਣੀਐ ਕੁਦਰਤਿ ਭਉ ਸੁਖ ਸਾਰੁ ॥ kudratdisai kudratsunee-ai kudratbha-o sukhsaar. Chochote kinachoonekana, au chochote kinachosikika kwenye mazingira ni ajabu ya nguvu Yako. Hofu kwa heshima Yako ambayo ndiyo kiini cha amani, yote ni mchezo Wako.
ਕੁਦਰਤਿ ਪਾਤਾਲੀ ਆਕਾਸੀ ਕੁਦਰਤਿ ਸਰਬ ਆਕਾਰੁ ॥ kudratpaataalee aakaasee kudratsarab aakaar. Ni nguvu Yako, ambayo inaonyeshwa katika maeneo ya chini ya dunia na angani, na katika miundo yote ya ulimwengu.
ਕੁਦਰਤਿ ਵੇਦ ਪੁਰਾਣ ਕਤੇਬਾ ਕੁਦਰਤਿ ਸਰਬ ਵੀਚਾਰੁ ॥ kudratvaydpuraankataybaa kudratsarab veechaar. Vedas, puranas, vitabu vya kisemiti na mawazo yaliyoelezwa ndani yao, yamewezekana kwa nguvu Yako.
ਕੁਦਰਤਿ ਖਾਣਾ ਪੀਣਾ ਪੈਨ੍ਹ੍ਹਣੁ ਕੁਦਰਤਿ ਸਰਬ ਪਿਆਰੁ ॥ kudratkhaanaa peenaa painHankudratsarab pi-aar. Ni nguvu Yako iliyopo, ambayo inatenda kazi kuwezesha dhana ya kula, kunywa, kuvaa na kuhisi upendo katika viumbe vinavyoishi.
ਕੁਦਰਤਿ ਜਾਤੀ ਜਿਨਸੀ ਰੰਗੀ ਕੁਦਰਤਿ ਜੀਅ ਜਹਾਨ ॥ kudratjaatee jinsee rangee kudratjee-a jahaan. Kwa Nguvu Yako kunatokea spishi za aina na rangi zote; kwa Nguvu Yako viumbe vinavyoishi vya dunia vinakuwepo.
ਕੁਦਰਤਿ ਨੇਕੀਆ ਕੁਦਰਤਿ ਬਦੀਆ ਕੁਦਰਤਿ ਮਾਨੁ ਅਭਿਮਾਨੁ ॥ kudratnaykee-aa kudratbadee-aa kudratmaan abhimaan. Hata matendo yote mazuri, maovu, staha na fedheha zote zinatendeka kulingana na Nguvu na mapenzi Yako.
ਕੁਦਰਤਿ ਪਉਣੁ ਪਾਣੀ ਬੈਸੰਤਰੁ ਕੁਦਰਤਿ ਧਰਤੀ ਖਾਕੁ ॥ kudratpa-unpaanee baisantar kudratDhartee khaak. Kwa Nguvu Yako upepo, maji na moto upo; kwa Nguvu Yako ardhi na vumbi ipo.
ਸਭ ਤੇਰੀ ਕੁਦਰਤਿ ਤੂੰ ਕਾਦਿਰੁ ਕਰਤਾ ਪਾਕੀ ਨਾਈ ਪਾਕੁ ॥ sabhtayree kudrattooNkaadir kartaa paakee naa-ee paak. Ee Mungu, kila kitu kipo chini ya Nguvu Yako, Wewe ndiwe Muumba mwenye nguvu yote. Jina Lako ndilo Takatifu kabisa kwa yote.
ਨਾਨਕ ਹੁਕਮੈ ਅੰਦਰਿ ਵੇਖੈ ਵਰਤੈ ਤਾਕੋ ਤਾਕੁ ॥੨॥ naanak hukmai andar vaykhai vartai taako taak. ||2|| Ee Nanak, Yeye anathamini uumbaji kulingana na amri Yake, na anaenea kote Yeye Mwenyewe.
ਪਉੜੀ ॥ pa-orhee. Pauree:
ਆਪੀਨ੍ਹ੍ਹੈ ਭੋਗ ਭੋਗਿ ਕੈ ਹੋਇ ਭਸਮੜਿ ਭਉਰੁ ਸਿਧਾਇਆ ॥ aapeenHai bhog bhog kai ho-ay bhasmarhbha-ur siDhaa-i-aa. Baada ya kuishi kupitia maumivu na raha za maisha, mwili wa binadamu unakuwa mrundo wa mchanga na roho inaondoka.
ਵਡਾ ਹੋਆ ਦੁਨੀਦਾਰੁ ਗਲਿ ਸੰਗਲੁ ਘਤਿ ਚਲਾਇਆ ॥ vadaa ho-aa duneedaar gal sangal ghatchalaa-i-aa. Mtu aliyenaswa katika shughuli za kidunia anapofariki, yeye anaongozwa kwa mahakama ya Hakimu wa haki.
ਅਗੈ ਕਰਣੀ ਕੀਰਤਿ ਵਾਚੀਐ ਬਹਿ ਲੇਖਾ ਕਰਿ ਸਮਝਾਇਆ ॥ agai karnee keeratvaachee-ai bahi laykhaa kar samjhaa-i-aa. Hapo, vitendo vyake vizuri na vibaya vinahesabiwa na kuelezwa kwake.
ਥਾਉ ਨ ਹੋਵੀ ਪਉਦੀਈ ਹੁਣਿ ਸੁਣੀਐ ਕਿਆ ਰੂਆਇਆ ॥ thaa-o na hovee pa-udee-ee hunsunee-ai ki-aa roo-aa-i-aa. Iwapo vitendo vyake vibaya vinazidi vitendo vizuri, Yeye anapewa adhabu kali. Yeye hapati pahali pa kujificha na hakuna anayesikia vilio vyake vya uchungu.
ਮਨਿ ਅੰਧੈ ਜਨਮੁ ਗਵਾਇਆ ॥੩॥ man anDhai janam gavaa-i-aa. ||3|| Kutokana na ujinga yeye ameharibu maisha ya kibinadamu bure.
ਸਲੋਕ ਮਃ ੧ ॥ salok mehlaa 1. Salok, Guru wa Kwanza:
ਭੈ ਵਿਚਿ ਪਵਣੁ ਵਹੈ ਸਦਵਾਉ ॥ bhai vich pavanvahai sadvaa-o. Katika hofu kwa heshima ya Mungu, upepo unaendelea kuvuma milele.
ਭੈ ਵਿਚਿ ਚਲਹਿ ਲਖ ਦਰੀਆਉ ॥ bhai vich chaleh lakhdaree-aa-o. Katika hofu kwa heshima (chini ya mapenzi) ya Mungu, maelfu ya mito yanatiririka.
ਭੈ ਵਿਚਿ ਅਗਨਿ ਕਢੈ ਵੇਗਾਰਿ ॥ bhai vich agan kadhai vaygaar. Katika hofu kwa heshima ya Mungu, moto unatenda kazi ulioteuliwa kufanya.
ਭੈ ਵਿਚਿ ਧਰਤੀ ਦਬੀ ਭਾਰਿ ॥ bhai vich Dhartee dabee bhaar. Katika hofu kwa heshima ya Mungu, dunia inahimili mzigo wa uumbaji.
ਭੈ ਵਿਚਿ ਇੰਦੁ ਫਿਰੈ ਸਿਰ ਭਾਰਿ ॥ bhai vich indfirai sir bhaar. Katika hofu kwa heshima ya Mungu (chini ya amri Yake), mfalme Indra, mungu wa mvua katika muundo wa wingu ananing’inia kichwa chini, kana kwamba linatembea kwenye kichwa chake.
ਭੈ ਵਿਚਿ ਰਾਜਾ ਧਰਮ ਦੁਆਰੁ ॥ bhai vich raajaa Dharam du-aar. Katika Hofu ya Mungu, Hakimu wa Haki wa Dharma anasimama mlangoni Pake.
ਭੈ ਵਿਚਿ ਸੂਰਜੁ ਭੈ ਵਿਚਿ ਚੰਦੁ ॥ bhai vich sooraj bhai vich chand. Chini ya Amri Yake, jua linang’aa na mwezi unaakisi.
ਕੋਹ ਕਰੋੜੀ ਚਲਤ ਨ ਅੰਤੁ ॥ koh karorhee chalatna ant. Wanasafiri mamilioni ya maili, bila mwisho.
ਭੈ ਵਿਚਿ ਸਿਧ ਬੁਧ ਸੁਰ ਨਾਥ ॥ bhai vich siDhbuDhsur naath. Katika hofu kwa heshima ya Mungu (chini ya amri Yake), wanaishi Wasiddha, Buddha. Miungu-nusu na Mayogi.
ਭੈ ਵਿਚਿ ਆਡਾਣੇ ਆਕਾਸ ॥ bhai vich aadaanay aakaas. Ni katika hofu kwa heshima Yake ambapo anga imeenezwa juu ya dunia
ਭੈ ਵਿਚਿ ਜੋਧ ਮਹਾਬਲ ਸੂਰ ॥ bhai vich joDhmahaabal soor. Katika mapenzi ya Mungu, kuna wapiganaji na mashujaa wenye nguvu mno.
ਭੈ ਵਿਚਿ ਆਵਹਿ ਜਾਵਹਿ ਪੂਰ ॥ bhai vich aavahi jaaveh poor. Katika hofu kwa heshima Yake, halaiki za wanadamu na viumbe wanazaliwa na kufa.
ਸਗਲਿਆ ਭਉ ਲਿਖਿਆ ਸਿਰਿ ਲੇਖੁ ॥ sagli-aa bha-o likhi-aa sir laykh. Uumbaji mzima unatenda kazi chini ya hofu kwa heshima (amri) Yake.
ਨਾਨਕ ਨਿਰਭਉ ਨਿਰੰਕਾਰੁ ਸਚੁ ਏਕੁ ॥੧॥ naanak nirbha-o nirankaar sach ayk. ||1|| Ee Nanak, ni Mungu wa milele asiye na muundo peke yake asiye na hofu yoyote.
ਮਃ ੧ ॥ mehlaa 1. Salok, Guru wa Kwanza:
ਨਾਨਕ ਨਿਰਭਉ ਨਿਰੰਕਾਰੁ ਹੋਰਿ ਕੇਤੇ ਰਾਮ ਰਵਾਲ ॥ naanak nirbha-o nirankaar hor kaytay raam ravaal. Ee Nanak, ni Mungu asiye na muundo peke yake, ambaye hana hofu; maelfu ya miungu wengine hawana maana mbele Yake.
ਕੇਤੀਆ ਕੰਨ੍ਹ੍ਹ ਕਹਾਣੀਆ ਕੇਤੇ ਬੇਦ ਬੀਚਾਰ ॥ kaytee-aa kanHkahaanee-aa kaytay baydbeechaar. Kuna hadithi nyingi mno kuhusu Krishna, wengi sana wanaotafakari juu ya Vedas.
ਕੇਤੇ ਨਚਹਿ ਮੰਗਤੇ ਗਿੜਿ ਮੁੜਿ ਪੂਰਹਿ ਤਾਲ ॥ kaytay nacheh mangtay girhmurhpooreh taal. Waombaji wengi sana wanachezacheza, wakizunguka kwa mpigo wa ngoma.
ਬਾਜਾਰੀ ਬਾਜਾਰ ਮਹਿ ਆਇ ਕਢਹਿ ਬਾਜਾਰ ॥ baajaaree baajaar meh aa-ay kadheh baajaar. Wafanya mazingaombwe wanafanya mazingaombwe yao sokoni, wakitengeneza njozi ya uongo.
ਗਾਵਹਿ ਰਾਜੇ ਰਾਣੀਆ ਬੋਲਹਿ ਆਲ ਪਤਾਲ ॥ gaavahi raajay raanee-aa boleh aal pataal. Wanaimba kuhusu wafalme na malkia, na kusimulia hadithi zisizo na maana.
ਲਖ ਟਕਿਆ ਕੇ ਮੁੰਦੜੇ ਲਖ ਟਕਿਆ ਕੇ ਹਾਰ ॥ lakhtaki-aa kay mund-rhay lakhtaki-aa kay haar. Wanavaa vipuli na mikufu ya bei ghali.
ਜਿਤੁ ਤਨਿ ਪਾਈਅਹਿ ਨਾਨਕਾ ਸੇ ਤਨ ਹੋਵਹਿ ਛਾਰ ॥ jittan paa-ee-ah naankaa say tan hoveh chhaar. Ee Nanak, miili, ambayo inavalishwa vito, mwishowe inakuwa majivu.


© 2025 SGGS ONLINE
error: Content is protected !!
Scroll to Top