Guru Granth Sahib Translation Project

Guru Granth Sahib Swahili Page 295

Page 295

ਜਿਸੁ ਪ੍ਰਸਾਦਿ ਸਭੁ ਜਗਤੁ ਤਰਾਇਆ ॥ jis parsaad sabh jagat taraa-i-aa. Ambaye kwa neema yake, dunia nzima inaokolewa.
ਜਨ ਆਵਨ ਕਾ ਇਹੈ ਸੁਆਉ ॥ jan aavan kaa ihai su-aa-o. Mtawa wa Mungu kama huyo anakuja duniani ili,
ਜਨ ਕੈ ਸੰਗਿ ਚਿਤਿ ਆਵੈ ਨਾਉ ॥ jan kai sang chit aavai naa-o. Wote ambao wanakutana naye wanaanza kutafakari kuhusu Naam.
ਆਪਿ ਮੁਕਤੁ ਮੁਕਤੁ ਕਰੈ ਸੰਸਾਰੁ ॥ aap mukat mukat karai sansaar. Mtu kama huto amekombolewa mwenyewe, na anaikomboa dunia nzima iliyosalia.
ਨਾਨਕ ਤਿਸੁ ਜਨ ਕਉ ਸਦਾ ਨਮਸਕਾਰੁ ॥੮॥੨੩॥ naanak tis jan ka-o sadaa namaskaar. ||8||23|| Ee Nanak, nasujudu kwa heshima milele kwa huyo mtawa wa Mungu.
ਸਲੋਕੁ ॥ salok. Shalok:
ਪੂਰਾ ਪ੍ਰਭੁ ਆਰਾਧਿਆ ਪੂਰਾ ਜਾ ਕਾ ਨਾਉ ॥ pooraa parabh aaraaDhi-aa pooraa jaa kaa naa-o. Mtu ambaye ametafakari kuhusu Mungu huyo mkamilifu ambaye Jina lake ni la milele.
ਨਾਨਕ ਪੂਰਾ ਪਾਇਆ ਪੂਰੇ ਕੇ ਗੁਨ ਗਾਉ ॥੧॥ naanak pooraa paa-i-aa pooray kay gun gaa-o. ||1|| Ee Nanak, mtu huyo amegundua Mungu mkamilifu. Hivyo basi, pia wewe unafaa kuimba sifa za yule Mmoja mkamilifu.
ਅਸਟਪਦੀ ॥ asatpadee. Ashtapadee:
ਪੂਰੇ ਗੁਰ ਕਾ ਸੁਨਿ ਉਪਦੇਸੁ ॥ pooray gur kaa sun updays. Ee akili yangu, sikiliza mafundisho ya Guru mkamilifu;
ਪਾਰਬ੍ਰਹਮੁ ਨਿਕਟਿ ਕਰਿ ਪੇਖੁ ॥ paarbarahm nikat kar paykh. Na uhisi Mungu Mkuu akiwa karibu nawe.
ਸਾਸਿ ਸਾਸਿ ਸਿਮਰਹੁ ਗੋਬਿੰਦ ॥ saas saas simrahu gobind. Tafakari kumhusu Mungu kwa kila pumzi unayopumua (kila wakati),
ਮਨ ਅੰਤਰ ਕੀ ਉਤਰੈ ਚਿੰਦ ॥ man antar kee utrai chind. Ili wasiwasi uondoke akilini mwako.
ਆਸ ਅਨਿਤ ਤਿਆਗਹੁ ਤਰੰਗ ॥ aas anit ti-aagahu tarang. Ee akili yangu, achana na mawimbi ya tamaa ya vitu vya mpito,
ਸੰਤ ਜਨਾ ਕੀ ਧੂਰਿ ਮਨ ਮੰਗ ॥ sant janaa kee Dhoor man mang. Na uulizie huduma nyenyekevu ya watu watakatifu.
ਆਪੁ ਛੋਡਿ ਬੇਨਤੀ ਕਰਹੁ ॥ aap chhod bayntee karahu. Kwa kukana majivuno yako binafsi, toa ombi nyenyekevu kwa Mungu,
ਸਾਧਸੰਗਿ ਅਗਨਿ ਸਾਗਰੁ ਤਰਹੁ ॥ saaDhsang agan saagar tarahu. Na katika uandamano wa watu watakatifu, ogelea uivuke bahari ya moto ya dhambi.
ਹਰਿ ਧਨ ਕੇ ਭਰਿ ਲੇਹੁ ਭੰਡਾਰ ॥ har Dhan kay bhar layho bhandaar. Jaza moyo wako na utajiri wa Jina la Mungu,
ਨਾਨਕ ਗੁਰ ਪੂਰੇ ਨਮਸਕਾਰ ॥੧॥ nanak gur pooray namaskaar. ||1|| Na Ee Nanak, sujudu kwa unyenyekevu kwa Guru Mkamilifu.
ਖੇਮ ਕੁਸਲ ਸਹਜ ਆਨੰਦ ॥ khaym kushal sahj anand. Utabarikiwa na amani ya milele, starehe za maisha, na raha tele ya usawa.
ਸਾਧਸੰਗਿ ਭਜੁ ਪਰਮਾਨੰਦ ॥ saaDhsang bhaj parmaanand. Kwa kutafakari kwa upendo kumhusu Mungu mkuu katika ushirika mtakatifu.
ਨਰਕ ਨਿਵਾਰਿ ਉਧਾਰਹੁ ਜੀਉ ॥ narak nivaar uDhaarahu jee-o. Okoa moyo wako kutoka maumivu ya jehanamu,
ਗੁਨ ਗੋਬਿੰਦ ਅੰਮ੍ਰਿਤ ਰਸੁ ਪੀਉ ॥ gun gobind amrit ras pee-o. Kwa kuimba sifa za Mungu na kwa kushiriki dawa ya Naam.
ਚਿਤਿ ਚਿਤਵਹੁ ਨਾਰਾਇਣ ਏਕ ॥ chit chitvahu naaraa-in ayk. Tafakari kumhusu Mungu Mmoja akilini mwako,
ਏਕ ਰੂਪ ਜਾ ਕੇ ਰੰਗ ਅਨੇਕ ॥ ayk roop jaa kay rang anayk. Ambaye ni Mmoja, lakini anayedhihirika katika miundo mingi.
ਗੋਪਾਲ ਦਾਮੋਦਰ ਦੀਨ ਦਇਆਲ ॥ gopaal daamodar deen da-i-aal. Mtunzaji wa Ulimwengu, Bwana wa dunia na mfadhili kwa wapole,
ਦੁਖ ਭੰਜਨ ਪੂਰਨ ਕਿਰਪਾਲ ॥ dukh bhanjan pooran kirpaal. Yeye ndiye mwangamizi wa huzuni, anayeenea kote na mwenye huruma.
ਸਿਮਰਿ ਸਿਮਰਿ ਨਾਮੁ ਬਾਰੰ ਬਾਰ ॥ simar simar naam baaraN baar. Kwa upendo na ujitoaji kumbuka Jina lake tena na tena.
ਨਾਨਕ ਜੀਅ ਕਾ ਇਹੈ ਅਧਾਰ ॥੨॥ naanak jee-a kaa ihai aDhaar. ||2|| Ee Nanak, Naam ndiyo tegemeo pekee ya roho.
ਉਤਮ ਸਲੋਕ ਸਾਧ ਕੇ ਬਚਨ ॥ utam salok saaDh kay bachan. Maneno ya Guru ndiyo nyimbo tukufu zaidi.
ਅਮੁਲੀਕ ਲਾਲ ਏਹਿ ਰਤਨ ॥ amuleek laal ayhi ratan. Hayo ni kama lulu na vito visivyokadirika.
ਸੁਨਤ ਕਮਾਵਤ ਹੋਤ ਉਧਾਰ ॥ sunat kamaavat hot uDhaar. Yule anayesikiliza na kutenda kwa haya anakombolewa kutoka kwa mizunguko ya kuzaliwa na kufa.
ਆਪਿ ਤਰੈ ਲੋਕਹ ਨਿਸਤਾਰ ॥ aap tarai lokah nistaar. Yeye huogelea na kuvuka bahari dunia ya dhambi na anawasaidia wengine kuvuka pia.
ਸਫਲ ਜੀਵਨੁ ਸਫਲੁ ਤਾ ਕਾ ਸੰਗੁ ॥ safal jeevan safal taa kaa sang. Maisha yake yametimizwa, na mahusiano yake ni yenye manufaa,
ਜਾ ਕੈ ਮਨਿ ਲਾਗਾ ਹਰਿ ਰੰਗੁ ॥ jaa kai man laagaa har rang. Ambaye akili yake imejawa na upendo wa Mungu.
ਜੈ ਜੈ ਸਬਦੁ ਅਨਾਹਦੁ ਵਾਜੈ ॥ jai jai sabad anaahad vaajai. Ndani mwake mnatetema muziki mtakatifu na mwisho unaomfanya mchangamfu sana.
ਸੁਨਿ ਸੁਨਿ ਅਨਦ ਕਰੇ ਪ੍ਰਭੁ ਗਾਜੈ ॥ sun sun anad karay parabh gaajai. Kwa kuisikiza tena na tena yeye huwakatika raha tele anapofurahiautambuzi wa Mungu ndani mwake.
ਪ੍ਰਗਟੇ ਗੁਪਾਲ ਮਹਾਂਤ ਕੈ ਮਾਥੇ ॥ pargatay gupaal mahaaNt kai maathay. Bwana wa ulimwengu hujidhihirisha kupitia mtu mtakatifu.
ਨਾਨਕ ਉਧਰੇ ਤਿਨ ਕੈ ਸਾਥੇ ॥੩॥ naanak uDhray tin kai saathay. ||3|| Ee Nanak, pamoja na mtu kama huyo, wengi zaidi wanakombolewa.
ਸਰਨਿ ਜੋਗੁ ਸੁਨਿ ਸਰਨੀ ਆਏ ॥ saran jog sun sarnee aa-ay. Tuliposikia kwamba unaweza kutupa makao, tulikimbilia kwako,
ਕਰਿ ਕਿਰਪਾ ਪ੍ਰਭ ਆਪ ਮਿਲਾਏ ॥ kar kirpaa parabh aap milaa-ay. Ee Mungu, kwa kutawaza huruma yako, Wewe umetuunganisha nawe Mwenyewe.
ਮਿਟਿ ਗਏ ਬੈਰ ਭਏ ਸਭ ਰੇਨ ॥ mit ga-ay bair bha-ay sabh rayn. Sasa chuki yetu imeondoka na tumekuwa wanyenyekevu kabisa kwa kila mtu.
ਅੰਮ੍ਰਿਤ ਨਾਮੁ ਸਾਧਸੰਗਿ ਲੈਨ ॥ amrit naam saaDhsang lain. Sisi tunatafakari kuhusu Naam ya ambrosia katika ushirika mtakatifu.
ਸੁਪ੍ਰਸੰਨ ਭਏ ਗੁਰਦੇਵ ॥ suparsan bha-ay gurdayv. Guru Mtakatifu amependezwa mno;
ਪੂਰਨ ਹੋਈ ਸੇਵਕ ਕੀ ਸੇਵ ॥ pooran ho-ee sayvak kee sayv. Na hivyo huduma ya watawa imetuzwa.
ਆਲ ਜੰਜਾਲ ਬਿਕਾਰ ਤੇ ਰਹਤੇ ॥ aal janjaal bikaar tay rahtay. Sasa, tumeokolewa kutoka misongamano ya kidunia na dhambi,
ਰਾਮ ਨਾਮ ਸੁਨਿ ਰਸਨਾ ਕਹਤੇ ॥ raam naam sun rasnaa kahtay. Kwa kusikiliza na kutamka Jina la Mungu,
ਕਰਿ ਪ੍ਰਸਾਦੁ ਦਇਆ ਪ੍ਰਭਿ ਧਾਰੀ ॥ kar parsaad da-i-aa parabh Dhaaree. Kwa Neema yake, Mungu ametawaza Huruma yake,
ਨਾਨਕ ਨਿਬਹੀ ਖੇਪ ਹਮਾਰੀ ॥੪॥ naanak nibhee khayp hamaaree. ||4|| na Ee Nanak, utajiri wa Naam umekubalika katika mahakama ya Mungu.
ਪ੍ਰਭ ਕੀ ਉਸਤਤਿ ਕਰਹੁ ਸੰਤ ਮੀਤ ॥ parabh kee ustat karahu sant meet. Enyi marafiki zangu watakatifu, imbeni sifa za Mungu,
ਸਾਵਧਾਨ ਏਕਾਗਰ ਚੀਤ ॥ saavDhaan aykaagar cheet. Kwa umakini kamili na nia moja.
ਸੁਖਮਨੀ ਸਹਜ ਗੋਬਿੰਦ ਗੁਨ ਨਾਮ ॥ sukhmanee sahj gobind gun naam. Sifa za Mungu na Jina la Mungu ni kito cha taji cha amani na utulivu wa mbinguni.
ਜਿਸੁ ਮਨਿ ਬਸੈ ਸੁ ਹੋਤ ਨਿਧਾਨ ॥ jis man basai so hot niDhaan. Yule ambaye akilini mwake mnaishi Naam anakuwa hazina ya fadhila.
ਸਰਬ ਇਛਾ ਤਾ ਕੀ ਪੂਰਨ ਹੋਇ ॥ sarab ichhaa taa kee pooran ho-ay. Hamu zake zote zinatimizwa,
ਪ੍ਰਧਾਨ ਪੁਰਖੁ ਪ੍ਰਗਟੁ ਸਭ ਲੋਇ ॥ parDhaan purakh pargat sabh lo-ay. Na anakuwa maarufu duniani kote kama mtu mkuu.
ਸਭ ਤੇ ਊਚ ਪਾਏ ਅਸਥਾਨੁ ॥ sabh tay ooch paa-ay asthaan. Yeye anapokea hali ya kiroho iliyoinuliwa zaidi.
ਬਹੁਰਿ ਨ ਹੋਵੈ ਆਵਨ ਜਾਨੁ ॥ bahur na hovai aavan jaan. Yeye hapitii mizunguko ya kuzaliwa na kufa.
ਹਰਿ ਧਨੁ ਖਾਟਿ ਚਲੈ ਜਨੁ ਸੋਇ ॥ har Dhan khaat chalai jan so-ay. Huyo anaondoka duniani baada ya kukusanya utajiri wa Jina la Mungu,
ਨਾਨਕ ਜਿਸਹਿ ਪਰਾਪਤਿ ਹੋਇ ॥੫॥ nanak jisahi paraapat ho-ay. ||5|| Ee Nanak, yule ambaye amebarikiwa na Mungu kwa tuzo hili.
ਖੇਮ ਸਾਂਤਿ ਰਿਧਿ ਨਵ ਨਿਧਿ ॥ khaym saaNt riDh nav niDh. Amani ya milele, utulivu, nguvu zote za kufanya miujiza na hazina tisa za utajiri wa kidunia,
ਬੁਧਿ ਗਿਆਨੁ ਸਰਬ ਤਹ ਸਿਧਿ ॥ buDh gi-aan sarab tah siDh. hekima, maarifa na nguvu zisizo za kawaida humjia mtu huyo (anayetafakari kuhusu Jina la Mungu).
ਬਿਦਿਆ ਤਪੁ ਜੋਗੁ ਪ੍ਰਭ ਧਿਆਨੁ ॥ bidi-aa tap jog parabh Dhi-aan. maarifa, toba, Yoga na kumtafakari Mungu;


© 2025 SGGS ONLINE
error: Content is protected !!
Scroll to Top