Page 284
ਨਾਨਕ ਕੈ ਮਨਿ ਇਹੁ ਅਨਰਾਉ ॥੧॥
naanak kai man ih anraa-o. ||1||
Akili ya Nanak inaitamani.
ਮਨਸਾ ਪੂਰਨ ਸਰਨਾ ਜੋਗ ॥
mansaa pooran sarnaa jog.
Mungu ana uweza wa kutimiza matakwa yetu na kutupa kimbilio.
ਜੋ ਕਰਿ ਪਾਇਆ ਸੋਈ ਹੋਗੁ ॥
jo kar paa-i-aa so-ee hog.
Chochote Mungu ameandika katika hatima ya mtu, ndicho kinachotendeka.
ਹਰਨ ਭਰਨ ਜਾ ਕਾ ਨੇਤ੍ਰ ਫੋਰੁ ॥
haran bharan jaa kaa naytar for.
Mungu anaweza kuangamiza au kuumba uumbaji kwa kupepesa kwa jicho (kwa muda mfupi sana);
ਤਿਸ ਕਾ ਮੰਤ੍ਰੁ ਨ ਜਾਨੈ ਹੋਰੁ ॥
tis kaa mantar na jaanai hor.
hakuna mtu ila Yeye, ajuaye fumbo la azimio lake.
ਅਨਦ ਰੂਪ ਮੰਗਲ ਸਦ ਜਾ ਕੈ ॥
anad roop mangal sad jaa kai.
Yeye ndiye udhihirisho wa raha kuu na furaha inayodumu milele
ਸਰਬ ਥੋਕ ਸੁਨੀਅਹਿ ਘਰਿ ਤਾ ਕੈ ॥
sarab thok sunee-ah ghar taa kai.
Baraka zote zinasikika kuwa katika umiliki wake.
ਰਾਜ ਮਹਿ ਰਾਜੁ ਜੋਗ ਮਹਿ ਜੋਗੀ ॥
raaj meh raaj jog meh jogee.
Kati ya wafalme, Yeye ndiye Mfalme Mkuu zaidi; kati ya mayogi, Yeye ndiye Yogi mtakatifu zaidi.
ਤਪ ਮਹਿ ਤਪੀਸਰੁ ਗ੍ਰਿਹਸਤ ਮਹਿ ਭੋਗੀ ॥
tap meh tapeesar garihsat meh bhogee.
Kati ya watawa, Yeye ndiye mtawa wa juu zaidi; kati ya wenye nyumba, Yeye ndiye mwenye nyumba mkarimu.
ਧਿਆਇ ਧਿਆਇ ਭਗਤਹ ਸੁਖੁ ਪਾਇਆ ॥
Dhi-aa-ay Dhi-aa-ay bhagtah sukh paa-i-aa.
Kwa kumtafakari yeye bila kukoma, watawa wake wamepata amani.
ਨਾਨਕ ਤਿਸੁ ਪੁਰਖ ਕਾ ਕਿਨੈ ਅੰਤੁ ਨ ਪਾਇਆ ॥੨॥
naanak tis purakh kaa kinai ant na paa-i-aa. ||2||
Ee Nanak, hakuna mtu aliyepata vikomo vya Kiumbe Mkuu.
ਜਾ ਕੀ ਲੀਲਾ ਕੀ ਮਿਤਿ ਨਾਹਿ ॥
jaa kee leelaa kee mit naahi.
Hakuna kikomo cha mchezo wake;
ਸਗਲ ਦੇਵ ਹਾਰੇ ਅਵਗਾਹਿ ॥
sagal dayv haaray avgaahi.
Nusu-miungu wote wamechoka kukitafuta.
ਪਿਤਾ ਕਾ ਜਨਮੁ ਕਿ ਜਾਨੈ ਪੂਤੁ ॥
pitaa kaa janam ke jaanai poot.
Mwana anajua kipi kuhusu kuzaliwa kwa baba yake?
ਸਗਲ ਪਰੋਈ ਅਪੁਨੈ ਸੂਤਿ ॥
sagal paro-ee apunai soot.
Kama vile shanga inawekwa kwenye uzi wa rosari, Yeye ameutiisha Ulimwengu mzima katika sheria yake.
ਸੁਮਤਿ ਗਿਆਨੁ ਧਿਆਨੁ ਜਿਨ ਦੇਇ ॥
sumat gi-aan Dhi-aan jin day-ay.
Hao watawa wanyenyekevu ambao anatawaza kwao fikira timamu, hekima ya kiroho na utafakari,
ਜਨ ਦਾਸ ਨਾਮੁ ਧਿਆਵਹਿ ਸੇਇ ॥
jan daas naam Dhi-aavahi say-ay.
mkumbuke Yeye kwa upendo na ujitoaji.
ਤਿਹੁ ਗੁਣ ਮਹਿ ਜਾ ਕਉ ਭਰਮਾਏ ॥
tihu gun meh jaa ka-o bharmaa-ay.
Yeye huwapotosha wengine kwa kuwahusisha katika sifa tatu za Maya (dhambi, nguvu na fadhila)
ਜਨਮਿ ਮਰੈ ਫਿਰਿ ਆਵੈ ਜਾਏ ॥
janam marai fir aavai jaa-ay.
Na wanaendelea kuzurura katika mizunguko ya kuzaliwa na kufa.
ਊਚ ਨੀਚ ਤਿਸ ਕੇ ਅਸਥਾਨ ॥
ooch neech tis kay asthaan.
Mungu anaishi katika hali za chini na za juu za akili. (katika watu wa hali zote za kiakili)
ਜੈਸਾ ਜਨਾਵੈ ਤੈਸਾ ਨਾਨਕ ਜਾਨ ॥੩॥
jaisaa janaavai taisaa naanak jaan. ||3||
Anavyohamasisha binadamu kumjua Yeye, Ee Nanak, ndivyo anavyojulikana.
ਨਾਨਾ ਰੂਪ ਨਾਨਾ ਜਾ ਕੇ ਰੰਗ ॥
naanaa roop naanaa jaa kay rang.
Muindo yake ni nyingi, na rangi zake na nyingi.
ਨਾਨਾ ਭੇਖ ਕਰਹਿ ਇਕ ਰੰਗ ॥
naanaa bhaykh karahi ik rang.
Nyingi ni sura anazochukua, ilhali Yeye ni Mmoja tu wa kipekee.
ਨਾਨਾ ਬਿਧਿ ਕੀਨੋ ਬਿਸਥਾਰੁ ॥
naanaa biDh keeno bisthaar.
Kwa njia nyingi, Yeye amejieneza. (ameupanua ulimwengu wake)
ਪ੍ਰਭੁ ਅਬਿਨਾਸੀ ਏਕੰਕਾਰੁ ॥
parabh abhinaasee aikankaar.
Lakini bado, Yeye ni wa milele na Muumba Mmoja tu.
ਨਾਨਾ ਚਲਿਤ ਕਰੇ ਖਿਨ ਮਾਹਿ ॥
naanaa chalit karay khin maahi.
Yeye hucheza katika michezo yake mingi papo hapo.
ਪੂਰਿ ਰਹਿਓ ਪੂਰਨੁ ਸਭ ਠਾਇ ॥
poor rahi-o pooran sabh thaa-ay.
Mungu Kamili anaenea mahali pote.
ਨਾਨਾ ਬਿਧਿ ਕਰਿ ਬਨਤ ਬਨਾਈ ॥
naanaa biDh kar banat banaa-ee.
Kwa njia nyingi sana, Yeye ameuumba uumbaji
ਅਪਨੀ ਕੀਮਤਿ ਆਪੇ ਪਾਈ ॥
apnee keemat aapay paa-ee.
Na Yeye Mwenyewe amekadiria thamani yake.
ਸਭ ਘਟ ਤਿਸ ਕੇ ਸਭ ਤਿਸ ਕੇ ਠਾਉ ॥
sabh ghat tis kay sabh tis kay thaa-o.
Mioyo yote ni Yake, na kila mahali ni kwake. (uumbaji wote ni miliki yake)
ਜਪਿ ਜਪਿ ਜੀਵੈ ਨਾਨਕ ਹਰਿ ਨਾਉ ॥੪॥
jap jap jeevai naanak har naa-o. ||4||
Ee Nanak, mtumwa wake anaishi kwa kutafakari kuhusu Jina la Mungu.
ਨਾਮ ਕੇ ਧਾਰੇ ਸਗਲੇ ਜੰਤ ॥
naam kay Dhaaray saglay jant.
Naam ni tegemeo la viumbe vyote.
ਨਾਮ ਕੇ ਧਾਰੇ ਖੰਡ ਬ੍ਰਹਮੰਡ ॥
naam kay Dhaaray khand barahmand.
Naam ndiyo tegemeo la dunia na mifumo ya jua.
ਨਾਮ ਕੇ ਧਾਰੇ ਸਿਮ੍ਰਿਤਿ ਬੇਦ ਪੁਰਾਨ ॥
naam kay Dhaaray simrit bayd puraan.
Naam ndiyo tegemeo la Smiritis, Vedas na Puranas.
ਨਾਮ ਕੇ ਧਾਰੇ ਸੁਨਨ ਗਿਆਨ ਧਿਆਨ ॥
naam kay Dhaaray sunan gi-aan Dhi-aan.
Naam ndiyo tegemeo ambayo kuitumia tunasikia hekima ya kiroho na kutafakari.
ਨਾਮ ਕੇ ਧਾਰੇ ਆਗਾਸ ਪਾਤਾਲ ॥
naam kay Dhaaray aagaas paataal.
Naam ndiyo tegemeo la Akashic ether (anga) na maeneo ya chini ya dunia.
ਨਾਮ ਕੇ ਧਾਰੇ ਸਗਲ ਆਕਾਰ ॥
naam kay Dhaaray sagal aakaar.
Naam ndiyo tegemeo la miili yote. (miundo yote ya uhai)
ਨਾਮ ਕੇ ਧਾਰੇ ਪੁਰੀਆ ਸਭ ਭਵਨ ॥
naam kay Dhaaray puree-aa sabh bhavan.
Naam ndiyo tegemeo la dunia zote na milki yote.
ਨਾਮ ਕੈ ਸੰਗਿ ਉਧਰੇ ਸੁਨਿ ਸ੍ਰਵਨ ॥
naam kai sang uDhray sun sarvan.
Kwa kutafakari na kusikiza Jina la Mungu, wengi wamekombolewa kutoka kwa dhambi.
ਕਰਿ ਕਿਰਪਾ ਜਿਸੁ ਆਪਨੈ ਨਾਮਿ ਲਾਏ ॥
kar kirpaa jis aapnai naam laa-ay.
Wale ambao Mungu anaambatisha kwa Jina lake kwa neema yake
ਨਾਨਕ ਚਉਥੇ ਪਦ ਮਹਿ ਸੋ ਜਨੁ ਗਤਿ ਪਾਏ ॥੫॥
naanak cha-uthay pad meh so jan gat paa-ay. ||5||
Ee Nanak, katika hali ya nne, watumishi hao wanyenyekevu huufikia ukombozi. (kutoka kwa mzunguko wa kuzaliwa na kufa)
ਰੂਪੁ ਸਤਿ ਜਾ ਕਾ ਸਤਿ ਅਸਥਾਨੁ ॥
roop sat jaa kaa sat asthaan.
Yule ambaye muundo wake ni wa milele na ambaye kiti chake cha enzi ni cha milele,
ਪੁਰਖੁ ਸਤਿ ਕੇਵਲ ਪਰਧਾਨੁ ॥
purakh sat kayval parDhaan.
Ndiye Kiumbe wa Milele anayeenea kote na ni mkuu.
ਕਰਤੂਤਿ ਸਤਿ ਸਤਿ ਜਾ ਕੀ ਬਾਣੀ ॥
kartoot sat sat jaa kee banee.
Mungu huyo wa Kweli anayeenea kote ambaye vitendo vyake ni vya kweli
ਸਤਿ ਪੁਰਖ ਸਭ ਮਾਹਿ ਸਮਾਣੀ ॥
sat purakh sabh maahi samaanee.
na neno lake ni la kweli, anapenyeza vyote.
ਸਤਿ ਕਰਮੁ ਜਾ ਕੀ ਰਚਨਾ ਸਤਿ ॥
sat karam jaa kee rachnaa sat.
Uumbaji wake ni wa kweli na vitendo vyake ni vya kweli.
ਮੂਲੁ ਸਤਿ ਸਤਿ ਉਤਪਤਿ ॥
mool sat sat utpat.
Mzizi wake (mwanzo) ni uwepo wa kweli, na cha kweli ni kile ambacho kinaasilia kutoka kwake.
ਸਤਿ ਕਰਣੀ ਨਿਰਮਲ ਨਿਰਮਲੀ ॥
sat karnee nirmal nirmalee.
Mapenzi yake yanayodumu ni safi kabisa.
ਜਿਸਹਿ ਬੁਝਾਏ ਤਿਸਹਿ ਸਭ ਭਲੀ ॥
jisahi bujhaa-ay tiseh sabh bhalee.
Vyote vinamuendea vizuri yule, ambaye Mungu anawezesha kujua Mapenzi yake.
ਸਤਿ ਨਾਮੁ ਪ੍ਰਭ ਕਾ ਸੁਖਦਾਈ ॥
sat naam parabh kaa sukh-daa-ee.
Naam inayodumu milele ndiyo Mpaji wa amani.
ਬਿਸ੍ਵਾਸੁ ਸਤਿ ਨਾਨਕ ਗੁਰ ਤੇ ਪਾਈ ॥੬॥
bisvaas sat naanak gur tay paa-ee. ||6||
Ee Nanak, imani hii inapatwa tu kupitia kwa Guru.
ਸਤਿ ਬਚਨ ਸਾਧੂ ਉਪਦੇਸ ॥
sat bachan saaDhoo updays.
Mafundisho na Maelekezo ya Guru ni ya kweli milele.
ਸਤਿ ਤੇ ਜਨ ਜਾ ਕੈ ਰਿਦੈ ਪ੍ਰਵੇਸ ॥
sat tay jan jaa kai ridai parvays.
Wale wanaokubali mafundisho hayo, pia wanakuwa wa kweli. (wanakombolewa kutoka kwa mizunguko ya kuzaliwa na kufa.
ਸਤਿ ਨਿਰਤਿ ਬੂਝੈ ਜੇ ਕੋਇ ॥
sat nirat boojhai jay ko-ay.
Iwapo mtu atagundua kina cha upendo wa Mungu,
ਨਾਮੁ ਜਪਤ ਤਾ ਕੀ ਗਤਿ ਹੋਇ ॥
naam japat taa kee gat ho-ay.
mtu huyo atatafakari kuhusu Naam na afikie hali kuu ya kiroho. (na atatoka kwenye mizunguko ya kuzaliwa na kufa)
ਆਪਿ ਸਤਿ ਕੀਆ ਸਭੁ ਸਤਿ ॥
aap sat kee-aa sabh sat.
Mungu, Mwenyewe ni wa milele, na vyote ambavyo ameviumba pia vipo. (si hadithi)
ਆਪੇ ਜਾਨੈ ਅਪਨੀ ਮਿਤਿ ਗਤਿ ॥
aapay jaanai apnee mit gat.
Yeye Mwenyewe anaijua thamani na kikomo chake mwenyewe.