Swahili Page 193

ਗਉੜੀ ਮਹਲਾ ੫ ॥
ga-orhee mehlaa 5.
Raag Gauree, by the Fifth Guru:
Raag Gauree, na Guru wa Tano:

ਤੂੰ ਸਮਰਥੁ ਤੂੰਹੈ ਮੇਰਾ ਸੁਆਮੀ ॥
tooN samrath tooNhai mayraa su-aamee.
O’ God, You are all powerful, You are my Master.
Ee Mungu, Wewe una nguvu zote, Wewe ndiwe Bwana wangu

ਸਭੁ ਕਿਛੁ ਤੁਮ ਤੇ ਤੂੰ ਅੰਤਰਜਾਮੀ ॥੧॥
sabh kichh tum tay tooN antarjaamee. ||1||
Everything comes from You; You are the knower of all minds.
Kila kitu kinatoka kwako; Wewe ndiwe mjua wa akili zote.

ਪਾਰਬ੍ਰਹਮ ਪੂਰਨ ਜਨ ਓਟ ॥
paarbarahm pooran jan ot.
O’ all pervading supreme God, You are the support of all Your devotees
Ee Mungu mkuu unayeenea kote, Wewe ndiwe tegemezo ya watawa wako wote

ਤੇਰੀ ਸਰਣਿ ਉਧਰਹਿ ਜਨ ਕੋਟਿ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
tayree saran uDhrahi jan kot. ||1|| rahaa-o.
Millions have been saved (from worldly ocean of vices) by seeking Your shelter.
Mamilioni wamekombolewa (kutoka bahari ya kidunia ya dhambi) kwa kutafuta kificho chako.

ਜੇਤੇ ਜੀਅ ਤੇਤੇ ਸਭਿ ਤੇਰੇ ॥
jaytay jee-a taytay sabh tayray.
O’ God, as manybeings as there arein this world, they all are Yours.
Ee Mungu, idadi iliyopo ya viumbe duniani humu, wote ni Wako.

ਤੁਮਰੀ ਕ੍ਰਿਪਾ ਤੇ ਸੂਖ ਘਨੇਰੇ ॥੨॥
tumree kirpaa tay sookh ghanayray. ||2||
By Your Grace, mortals are obtaining all sorts of comforts. ||2||
Kwa Neema yako, binadamu wanapata aina yote ya starehe.

ਜੋ ਕਿਛੁ ਵਰਤੈ ਸਭ ਤੇਰਾ ਭਾਣਾ ॥
jo kichh vartai sabh tayraa bhaanaa.
Whatever happens, is all according to Your Will.
Chochote kinachofanyika, ni kulingana na Mapenzi yako.

ਹੁਕਮੁ ਬੂਝੈ ਸੋ ਸਚਿ ਸਮਾਣਾ ॥੩॥
hukam boojhai so sach samaanaa. ||3||
The one who understands Your command merges in the Truth.
Yule anayeelewa amri yako anaunganishwa katika Ukweli.

ਕਰਿ ਕਿਰਪਾ ਦੀਜੈ ਪ੍ਰਭ ਦਾਨੁ ॥
kar kirpaa deejai parabh daan.
Please grant Your Grace, God, and bestow this gift of Naam,
Tafadhali ruzuku Neema yako, Mungu, na utawaze tuzo hii ya Naam,

ਨਾਨਕ ਸਿਮਰੈ ਨਾਮੁ ਨਿਧਾਨੁ ॥੪॥੬੬॥੧੩੫॥
naanak simrai naam niDhaan. ||4||66||135||
upon Nanak, so that Nanak meditate on the treasure of Your Name.
Kwa Nanak, ili Nanak atafakari kuhusu hazina ya Jina lako.

ਗਉੜੀ ਮਹਲਾ ੫ ॥
ga-orhee mehlaa 5.
Raag Gauree, by the Fifth Guru:
Raag Gauree, na Guru wa Tano:

ਤਾ ਕਾ ਦਰਸੁ ਪਾਈਐ ਵਡਭਾਗੀ ॥
taa kaa daras paa-ee-ai vadbhaagee.
By great good fortune, the Blessed Vision of His Darshan is obtained,It is only by good fortune that one beholds the sight of such a person,
Kwa bahati njema kuu, Mwono Uliobarikiwa wa Darshan wake inapatwa, ni kwa bahati nzuri pekee ambapo mtu anatazama mtu kama huyo.

ਜਾ ਕੀ ਰਾਮ ਨਾਮਿ ਲਿਵ ਲਾਗੀ ॥੧॥
jaa kee raam naam liv laagee. ||1||
by those who are lovingly absorbed in the Lord’s Name.whose mind is attuned to God’s Name
kwa wale ambao wamevama kwa upendo katika Jina la Mungu.Ambao akili yake imemakinikia Jina la Mungu

ਜਾ ਕੈ ਹਰਿ ਵਸਿਆ ਮਨ ਮਾਹੀ ॥
jaa kai har vasi-aa man maahee.
He, in whose mind God has come to reside
Yeye, ambaye akilini mwake Mungu amekuja kuishi

ਤਾ ਕਉ ਦੁਖੁ ਸੁਪਨੈ ਭੀ ਨਾਹੀ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
taa ka-o dukh supnai bhee naahee. ||1|| rahaa-o.
He does not suffer pain, even in dreams.
Hateseki kutoka uchungu, hata kwenye ndoto.

ਸਰਬ ਨਿਧਾਨ ਰਾਖੇ ਜਨ ਮਾਹਿ ॥
sarab niDhaan raakhay jan maahi.
God has placed all treasures of spiritual virtues in the mind of His devotee.
Mungu ameweka hazina zote za fadhila za kiroho akilini mwa mtawa wake.

ਤਾ ਕੈ ਸੰਗਿ ਕਿਲਵਿਖ ਦੁਖ ਜਾਹਿ ॥੨॥
taa kai sang kilvikh dukh jaahi. ||2||
In his company all sins and sorrows go away.
Katika uandamano wake dhambi na huzuni zote zinaondoka.

ਜਨ ਕੀ ਮਹਿਮਾ ਕਥੀ ਨ ਜਾਇ ॥
jan kee mahimaa kathee na jaa-ay.
The Glory of such a devotee cannot be described.
Utukufu wa mtawa kama huyo hauwezi kuelezwa.

ਪਾਰਬ੍ਰਹਮੁ ਜਨੁ ਰਹਿਆ ਸਮਾਇ ॥੩॥
paarbarahm jan rahi-aa samaa-ay. ||3||
because the devotee becomes the embodiment of God, Who is pervading everywhere.
Kwa sababu mtawa anakuwa udhihirisho wa kimwili wa Mungu, Ambaye anaenea kote.

ਕਰਿ ਕਿਰਪਾ ਪ੍ਰਭ ਬਿਨਉ ਸੁਨੀਜੈ ॥
kar kirpaa parabh bin-o suneejai.
O’ God, grant Your mercy and listen to this request of mine,
Ee Mungu, ruzuku huruma yako na usikize ombi hili langu.

ਦਾਸ ਕੀ ਧੂਰਿ ਨਾਨਕ ਕਉ ਦੀਜੈ ॥੪॥੬੭॥੧੩੬॥
daas kee Dhoor naanak ka-o deejai. ||4||67||136||
bless Nanak with the dust of the feet (humble service) of Your devotee.
Bariki Nanak kwa mchanga wa miguu (huduma nyenyekevu) wa mtawa wako.

ਗਉੜੀ ਮਹਲਾ ੫ ॥
ga-orhee mehlaa 5.
Raag Gauree, by the Fifth Guru:
Raag Gauree, na Guru wa Tano:

ਹਰਿ ਸਿਮਰਤ ਤੇਰੀ ਜਾਇ ਬਲਾਇ ॥
har simrat tayree jaa-ay balaa-ay.
Remembering God with love and devotion, your misfortune shall go away,
Kwa kumkumbuka Mungu kwa upendo na kujitolea, msiba wako utaondoka,

ਸਰਬ ਕਲਿਆਣ ਵਸੈ ਮਨਿ ਆਇ ॥੧॥
sarab kali-aan vasai man aa-ay. ||1||
and all comforts shall come to reside in your mind.
Na starehe zote zitakuja kuishi akilini mwako.

ਭਜੁ ਮਨ ਮੇਰੇ ਏਕੋ ਨਾਮ ॥
bhaj man mayray ayko naam.
O’ my mind, always meditate on God’s Name with love and devotion.
Ee akili yangu, tafakari daima kuhusu Jina la Mungu kwa upendo na kujitolea.

ਜੀਅ ਤੇਰੇ ਕੈ ਆਵੈ ਕਾਮ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
jee-a tayray kai aavai kaam. ||1|| rahaa-o.
It alone shall be of use to your soul in God’s court.
Hilo pekee litakuwa na manufaa kwa roho yako katika mahakama ya Mungu.

ਰੈਣਿ ਦਿਨਸੁ ਗੁਣ ਗਾਉ ਅਨੰਤਾ ॥
rain dinas gun gaa-o anantaa.m
Always sing the praises of the infinite God,
Imba sifa za Mungu asiye na mwisho daima,

ਗੁਰ ਪੂਰੇ ਕਾ ਨਿਰਮਲ ਮੰਤਾ ॥੨॥
gur pooray kaa nirmal manntaa. ||2||
through the immaculate teachings of the perfect Guru.
Kupitia mafundisho safi ya Guru kamili.

ਛੋਡਿ ਉਪਾਵ ਏਕ ਟੇਕ ਰਾਖੁ ॥
chhod upaav ayk tayk raakh.
Give up other efforts, and place your faith in the Support of the One (God).
Kata tamaa ya jitihada zote nyingine, na uweke imani yako katika Tegemezo ya yule Mmoja (Mungu).

ਮਹਾ ਪਦਾਰਥੁ ਅੰਮ੍ਰਿਤ ਰਸੁ ਚਾਖੁ ॥੩॥
mahaa padaarath amrit ras chaakh. ||3||
Taste the Ambrosial Essence of this (God’s Name), the greatest treasure.
Onja Kiini cha Ambrosia ya hilo (Jina la Mungu), hazina kuu zaidi.

ਬਿਖਮ ਸਾਗਰੁ ਤੇਈ ਜਨ ਤਰੇ ॥
bikham saagar tay-ee jan taray.
They alone cross over the treacherous world-ocean of vices.
Wao pekee wanavuka bahari-dunia mbaya ya dhambi.

ਨਾਨਕ ਜਾ ਕਉ ਨਦਰਿ ਕਰੇ ॥੪॥੬੮॥੧੩੭॥
naanak jaa ka-o nadar karay. ||4||68||137||
O Nanak, upon whom the God casts His Glance of Grace.
Ee Nanak, kwa yule ambaye Mungu anampa Mtazamo wako wa Neema.

ਗਉੜੀ ਮਹਲਾ ੫ ॥
ga-orhee mehlaa 5.
Raag Gauree, by the Fifth Guru:
Raag Gauree, na Guru wa Tano:

ਹਿਰਦੈ ਚਰਨ ਕਮਲ ਪ੍ਰਭ ਧਾਰੇ ॥
hirdai charan kamal parabh Dhaaray.
They who enshrine Lotus Feet of God (God’s Name) in their hearts,
Wale wanaothamini Miguu ya Lotasi ya Mungu (Jina la Mungu) moyoni mwao,

ਪੂਰੇ ਸਤਿਗੁਰ ਮਿਲਿ ਨਿਸਤਾਰੇ ॥੧॥
pooray satgur mil nistaaray. ||1||
Meeting the Perfect True Guru, they swim across the world-ocean of vices.
Kwa kukutana na Guru Kamili wa Kweli, wanaogelea wakivuka bahari-dunia ya dhambi.

ਗੋਵਿੰਦ ਗੁਣ ਗਾਵਹੁ ਮੇਰੇ ਭਾਈ ॥
govind gun gaavhu mayray bhaa-ee.
O, my brothers, Sing the Glorious Praises of the Master of the universe.
Ee, ndugu zangu, Imbeni Sifa Tukufu za Bwana wa ulimwengu.

ਮਿਲਿ ਸਾਧੂ ਹਰਿ ਨਾਮੁ ਧਿਆਈ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
mil saaDhoo har naam Dhi-aa-ee. ||1|| rahaa-o.
Meeting the Saint (Guru), meditate on God’s Name with love and devotion.
Kwa kukutana na Mtakatifu (Guru), tafakari kuhusu Jina la Mungu kwa upendo na kujitolea.

ਦੁਲਭ ਦੇਹ ਹੋਈ ਪਰਵਾਨੁ ॥
dulabh dayh ho-ee parvaan.
This human body, so difficult to obtain, is approved in God’s Court,
Mwili huu wa binadamu, ambao ni ngumu sana kupata, unaidhinishwa katika Mahakama ya Mungu,

ਸਤਿਗੁਰ ਤੇ ਪਾਇਆ ਨਾਮ ਨੀਸਾਨੁ ॥੨॥
satgur tay paa-i-aa naam neesaan. ||2||
when one receives the banner of the Naam from the True Guru.
Wakati mtu anapokea bango la Naam kutoka kwa Guru wa Kweli.

ਹਰਿ ਸਿਮਰਤ ਪੂਰਨ ਪਦੁ ਪਾਇਆ ॥
har simrat pooran pad paa-i-aa.
Meditating on God with loving devotion, the supreme spiritual status is obtained.
Kutafakari kuhusu Mungu kwa kujitolea kwa upendo, hadhi kuu ya kiroho inapatwa.

ਸਾਧਸੰਗਿ ਭੈ ਭਰਮ ਮਿਟਾਇਆ ॥੩॥
saaDhsang bhai bharam mitaa-i-aa. ||3||
In the holy congregation all fear and doubt depart.
Katika ushirika takatifu woga na shaka yote inaondoka.

ਜਤ ਕਤ ਦੇਖਉ ਤਤ ਰਹਿਆ ਸਮਾਇ ॥
jat kat daykh-a-u tat rahi-aa samaa-ay.
Wherever I look, there I see God pervading.
Popote ninapoangalia, hapo naona Mungu akienea.

ਨਾਨਕ ਦਾਸ ਹਰਿ ਕੀ ਸਰਣਾਇ ॥੪॥੬੯॥੧੩੮॥
naanak daas har kee sarnaa-ay. ||4||69||138||
O’ Nanak, the devotees always remain in God’s shelter.
Ee Nanak, watawa daima wanabaki katika kificho cha Mungu.

ਗਉੜੀ ਮਹਲਾ ੫ ॥
ga-orhee mehlaa 5.
Raag Gauree, by the Fifth Guru:
Raag Gauree, na Guru wa Tano:

ਗੁਰ ਜੀ ਕੇ ਦਰਸਨ ਕਉ ਬਲਿ ਜਾਉ ॥
gur jee kay darsan ka-o bal jaa-o.
I dedicate myself unto the sight of the revered Guru.
Najiweka wakfu kwa mwono wa Guru anayeheshimika.

ਜਪਿ ਜਪਿ ਜੀਵਾ ਸਤਿਗੁਰ ਨਾਉ ॥੧॥
jap jap jeevaa satgur naa-o. ||1||
Chanting and meditating on the Name of the True Guru, I live.I feel spiritually rejuvinated by continuously remembering the true Guru’s words.
Kwa kuimba na kutafakari Jina ka Guru wa Kweli, naishi. Nahisi msisimko wa kiroho kwa kuyakumbuka maneno ya Guru wa kweli kila wakati.

ਪਾਰਬ੍ਰਹਮ ਪੂਰਨ ਗੁਰਦੇਵ ॥
paarbarahm pooran gurdayv.
O’ my supreme God, O’ my perfect divine Guru,
Ee Mungu wangu mkuu, Ee Guru wangu kamili mtakatifu,

ਕਰਿ ਕਿਰਪਾ ਲਾਗਉ ਤੇਰੀ ਸੇਵ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
kar kirpaa laaga-o tayree sayv. ||1|| rahaa-o.
please show mercy so that I may remain in your service and meditation
tafadhali nionee huruma ili niweze kubaki katika huduma na utafakari wako

ਚਰਨ ਕਮਲ ਹਿਰਦੈ ਉਰ ਧਾਰੀ ॥
charan kamal hirdai ur Dhaaree.
I enshrine Gutu’s Lotus Feet (immaculate words) within my heart.
Nathamini miguu ya Lotasi ya Guru (maneno takatifu) moyoni mwangu.

ਮਨ ਤਨ ਧਨ ਗੁਰ ਪ੍ਰਾਨ ਅਧਾਰੀ ॥੨॥
man tan Dhan gur paraan aDhaaree. ||2||
Guru’s words are the support of my life, mind, body and wealth.
Maneno ya Guru ndiyo tegemezo ya maisha, akili, mwili na utajiri wangu.

ਸਫਲ ਜਨਮੁ ਹੋਵੈ ਪਰਵਾਣੁ ॥
safal janam hovai parvaan.
Your human birth will become fruitful and you will be approved in God’s court,
Kuzaliwa kwako kwa ubinadamu kutakuwa kwenye mafanikio na utaidhinishwa katika mahakama ya Mungu.

ਗੁਰੁ ਪਾਰਬ੍ਰਹਮੁ ਨਿਕਟਿ ਕਰਿ ਜਾਣੁ ॥੩॥
gur paarbarahm nikat kar jaan. ||3||
if You consider the Guru and God always present very close to you.
Iwapo unafikiria Guru na Mungu kuwa wapo karibu sana na wewe daima.

ਸੰਤ ਧੂਰਿ ਪਾਈਐ ਵਡਭਾਗੀ ॥
sant Dhoor paa-ee-ai vadbhaagee.
The dust of Guru’s feet (the Guru’s love and teaching) is obtained only by good fortune.
Mchanga miguuni pa Guru (upendo na mafundisho ya Guru) unapatikana tu kwa bahati nzuri.

ਨਾਨਕ ਗੁਰ ਭੇਟਤ ਹਰਿ ਸਿਉ ਲਿਵ ਲਾਗੀ ॥੪॥੭੦॥੧੩੯॥
naanak gur bhaytat har si-o liv laagee. ||4||70||139||
O’ Nanak, upon meeting the Guru, one’s mind becomes attuned to God.
Ee Nanak, punde tu tunapokutana na Guru, akili yetu inamakinikia Mungu.

error: Content is protected !!