Page 278
ਨਾਨਾ ਰੂਪ ਜਿਉ ਸ੍ਵਾਗੀ ਦਿਖਾਵੈ ॥
naanaa roop ji-o savaagee dikhaavai.
Kama mwigizaji, anaonekana akivaa maficho tofauti.
ਜਿਉ ਪ੍ਰਭ ਭਾਵੈ ਤਿਵੈ ਨਚਾਵੈ ॥
bji-o parabh bhaavai tivai nachaavai.
Inavyompendeza Mungu, Yeye anafanya binadamu acheze anavyotaka.
ਜੋ ਤਿਸੁ ਭਾਵੈ ਸੋਈ ਹੋਇ ॥
jo tis bhaavai so-ee ho-ay.
Chochote kinachompendeza Yeye, kinatendeka.
ਨਾਨਕ ਦੂਜਾ ਅਵਰੁ ਨ ਕੋਇ ॥੭॥
naanak doojaa avar na ko-ay. ||7||
Ee Nanak, hakuna mwingine kama Yeye.
ਕਬਹੂ ਸਾਧਸੰਗਤਿ ਇਹੁ ਪਾਵੈ ॥
kabhoo saaDhsangat ih paavai.
Wakati mtu huyu anafikia Uandamano wa Watakatifu.
ਉਸੁ ਅਸਥਾਨ ਤੇ ਬਹੁਰਿ ਨ ਆਵੈ ॥
us asthaan tay bahur na aavai.
basi yeye hatoki kwenye hali ile ya furaha ya akili,
ਅੰਤਰਿ ਹੋਇ ਗਿਆਨ ਪਰਗਾਸੁ ॥
antar ho-ay gi-aan pargaas.
Kwa sababu, katika huo uandamano akili yakehuangazwa na maarifa takatifu,
ਉਸੁ ਅਸਥਾਨ ਕਾ ਨਹੀ ਬਿਨਾਸੁ ॥
us asthaan kaa nahee binaas.
Na hali hiyo ya akili ilyoangazwa kamwe haikwishi.
ਮਨ ਤਨ ਨਾਮਿ ਰਤੇ ਇਕ ਰੰਗਿ ॥
man tan naam ratay ik rang.
(Katika hali hiyo) mwili na akili ya mtu inajawa na upendo kwa Mungu,
ਸਦਾ ਬਸਹਿ ਪਾਰਬ੍ਰਹਮ ਕੈ ਸੰਗਿ ॥
sadaa baseh paarbarahm kai sang.
Na milele anaishi na Mungu Mkuu.
ਜਿਉ ਜਲ ਮਹਿ ਜਲੁ ਆਇ ਖਟਾਨਾ ॥
ji-o jal meh jal aa-ay khataanaa.
Kama vile maji yanavyochanganyikana na maji,
ਤਿਉ ਜੋਤੀ ਸੰਗਿ ਜੋਤਿ ਸਮਾਨਾ ॥
ti-o jotee sang jot samaanaa.
Vivyo hivyo roho yake iliyoangazwa inaungana na roho Kuu.
ਮਿਟਿ ਗਏ ਗਵਨ ਪਾਏ ਬਿਸ੍ਰਾਮ ॥
mit ga-ay gavan paa-ay bisraam.
Mzunguko wake wa kuzaliwa na kufa unatamatika, na anafikia amani ya milele.
ਨਾਨਕ ਪ੍ਰਭ ਕੈ ਸਦ ਕੁਰਬਾਨ ॥੮॥੧੧॥
naanak parabh kai sad kurbaan. ||8||11||
Ee Nanak, tunafaa kujiweka wakfu kwa Mungu milele.
ਸਲੋਕੁ ॥
salok.
Shalok:
ਸੁਖੀ ਬਸੈ ਮਸਕੀਨੀਆ ਆਪੁ ਨਿਵਾਰਿ ਤਲੇ ॥
sukhee basai maskeenee-aa aap nivaar talay.
Kwa kuondoa majivuno binafsi, mtu mnyenyekevu huishi kwa amani.
ਬਡੇ ਬਡੇ ਅਹੰਕਾਰੀਆ ਨਾਨਕ ਗਰਬਿ ਗਲੇ ॥੧॥
baday baday ahaNkaaree-aa nanak garab galay. ||1||
Ee Nanak, watu wenye nguvu ambao wana kiburi wanaangamizwa na kiburi chao wenyewe.
ਅਸਟਪਦੀ ॥
asatpadee.
Ashtapadee:
ਜਿਸ ਕੈ ਅੰਤਰਿ ਰਾਜ ਅਭਿਮਾਨੁ ॥
jis kai antar raaj abhimaan.
Yule anayekuwa mwenye fahari ya ubinafsi wa mali na nguvu akilini,
ਸੋ ਨਰਕਪਾਤੀ ਹੋਵਤ ਸੁਆਨੁ ॥
so narakpaatee hovat su-aan.
Anastahili adhabu kama mbwa katika jehanamu.
ਜੋ ਜਾਨੈ ਮੈ ਜੋਬਨਵੰਤੁ ॥
jo jaanai mai jobanvant.
Yule ambaye kwa ubinafsi anajifikiria kuwa kijana na mtanashati,
ਸੋ ਹੋਵਤ ਬਿਸਟਾ ਕਾ ਜੰਤੁ ॥
so hovat bistaa kaa jant.
yeye ni kama minyoo kwenye uchafu
ਆਪਸ ਕਉ ਕਰਮਵੰਤੁ ਕਹਾਵੈ ॥
aapas ka-o karamvant kahaavai.
Yule anayejiita mtendaji wa vitendo vya kumcha Mungu katika ubinafsi.
ਜਨਮਿ ਮਰੈ ਬਹੁ ਜੋਨਿ ਭ੍ਰਮਾਵੈ ॥
janam marai baho jon bharmaavai.
Anaendelea kuteseka katika mizunguko ya kuzaliwa na kufa.
ਧਨ ਭੂਮਿ ਕਾ ਜੋ ਕਰੈ ਗੁਮਾਨੁ ॥
Dhan bhoom kaa jo karai gumaan.
Yule anayehisi fahari ya ubinafsi kwa utajiri na ardhi yake
ਸੋ ਮੂਰਖੁ ਅੰਧਾ ਅਗਿਆਨੁ ॥
so moorakh anDhaa agi-aan.
Ni mpumbavu, kipofu na mjinga.
ਕਰਿ ਕਿਰਪਾ ਜਿਸ ਕੈ ਹਿਰਦੈ ਗਰੀਬੀ ਬਸਾਵੈ ॥
kar kirpaa jis kai hirdai gareebee basaavai.
Yule ambaye, moyoni mwake Mungu kwa huruma anaweka unyenyekevu,
ਨਾਨਕ ਈਹਾ ਮੁਕਤੁ ਆਗੈ ਸੁਖੁ ਪਾਵੈ ॥੧॥
naanak eehaa mukat aagai sukh paavai. ||1||
Ee Nanak, yeye anakombolewa humu kutoka kwa dhambi, na anapata amani baadaye.
ਧਨਵੰਤਾ ਹੋਇ ਕਰਿ ਗਰਬਾਵੈ ॥
Dhanvantaa ho-ay kar garbaavai.
Punde tu anapokuwa tajiri, mtu anahisi fahari ya ubinafsi kwa utajiri wake,
ਤ੍ਰਿਣ ਸਮਾਨਿ ਕਛੁ ਸੰਗਿ ਨ ਜਾਵੈ ॥
tarin samaan kachh sang na jaavai.
Anapaswa kugundua kwamba hakuna kitu kitakachoambatana naye mwishowe, sio hata unyasi.
ਬਹੁ ਲਸਕਰ ਮਾਨੁਖ ਊਪਰਿ ਕਰੇ ਆਸ ॥
baho laskar maanukh oopar karay aas.
Anaweza kuweka matumaini yake kwa jeshi kubwa au binadamu,
ਪਲ ਭੀਤਰਿ ਤਾ ਕਾ ਹੋਇ ਬਿਨਾਸ ॥
pal bheetar taa kaa ho-ay binaas.
(anapaswa kujua kwamba) vitu hivi vyote vinaangamizwa kufumba na kufumbua
ਸਭ ਤੇ ਆਪ ਜਾਨੈ ਬਲਵੰਤੁ ॥
sabh tay aap jaanai balvant.
Yule ambaye anajifikiria kuwa mwenye nguvu zaidi ya wote,
ਖਿਨ ਮਹਿ ਹੋਇ ਜਾਇ ਭਸਮੰਤੁ ॥
khin meh ho-ay jaa-ay bhasmant.
kufumba na kufumbua mtu huyo anaweza kuangamizwa awe majivu.
ਕਿਸੈ ਨ ਬਦੈ ਆਪਿ ਅਹੰਕਾਰੀ ॥
kisai na badai aap ahaNkaaree.
Yule ambaye ni mwenye majivuno sana wala hamjali mtu yeyote mwingine,
ਧਰਮ ਰਾਇ ਤਿਸੁ ਕਰੇ ਖੁਆਰੀ ॥
Dharam raa-ay tis karay khu-aaree.
Anaaibishwa vibaya na Hakimu wa Haki.
ਗੁਰ ਪ੍ਰਸਾਦਿ ਜਾ ਕਾ ਮਿਟੈ ਅਭਿਮਾਨੁ ॥
gur parsaad jaa kaa mitai abhimaan.
Yule ambaye ubinafsi wake unaondolewa kwa neema ya Guru,
ਸੋ ਜਨੁ ਨਾਨਕ ਦਰਗਹ ਪਰਵਾਨੁ ॥੨॥
so jan naanak dargeh parvaan. ||2||
Ee Nanak, mtu huyo anaidhinishwa katika makao ya Mungu.
ਕੋਟਿ ਕਰਮ ਕਰੈ ਹਉ ਧਾਰੇ ॥
kot karam karai ha-o Dhaaray.
Iwapo mtu atatenda mamilioni ya vitendo vizuri na pia ahisi fahari ya ubinafsi kwa hivyo vitendo,
ਸ੍ਰਮੁ ਪਾਵੈ ਸਗਲੇ ਬਿਰਥਾਰੇ ॥
saram paavai saglay birthaaray.
Mtu huyo anafanya kazi ngumu tu, na vitendo hivyo vyote ni bure.
ਅਨਿਕ ਤਪਸਿਆ ਕਰੇ ਅਹੰਕਾਰ ॥
anik tapasi-aa karay ahaNkaar.
Yule, anayefanya maelfu ya toba na anajihusisha katika ubinafsi,
ਨਰਕ ਸੁਰਗ ਫਿਰਿ ਫਿਰਿ ਅਵਤਾਰ ॥
narak surag fir fir avtaar.
huzidi kuvumilia uchungu na raha, kana kwamba anapitia mbinguni na jehanamu tena na tena
ਅਨਿਕ ਜਤਨ ਕਰਿ ਆਤਮ ਨਹੀ ਦ੍ਰਵੈ ॥
anik jatan kar aatam nahee darvai.
Iwapo licha ya kufanya jitihada nyingi, mtu hawi mwororo na mkarimu,
ਹਰਿ ਦਰਗਹ ਕਹੁ ਕੈਸੇ ਗਵੈ ॥
har dargeh kaho kaisay gavai.
Basi atawezaje kufikia mahakama ya Mungu?
ਆਪਸ ਕਉ ਜੋ ਭਲਾ ਕਹਾਵੈ ॥
aapas ka-o jo bhalaa kahaavai.
Yule anayejidai kuwa mfadhili,
ਤਿਸਹਿ ਭਲਾਈ ਨਿਕਟਿ ਨ ਆਵੈ ॥
tiseh bhalaa-ee nikat na aavai.
Fadhila hata haimgusi mtu huyo.
ਸਰਬ ਕੀ ਰੇਨ ਜਾ ਕਾ ਮਨੁ ਹੋਇ ॥
sarab kee rayn jaa kaa man ho-ay.
Yule ambaye akili yake inakuwa nyenyekevu kwa wote,
ਕਹੁ ਨਾਨਕ ਤਾ ਕੀ ਨਿਰਮਲ ਸੋਇ ॥੩॥
kaho naanak taa kee nirmal so-ay. ||3||
Ee Nanak, sifa yake ni safi bila doa.
ਜਬ ਲਗੁ ਜਾਨੈ ਮੁਝ ਤੇ ਕਛੁ ਹੋਇ ॥
jab lag jaanai mujh tay kachh ho-ay.
Ila, pindi mtu anapofikiria kwamba anaweza kufanya chochote kitendeke kwa nguvu yake mwenyewe.
ਤਬ ਇਸ ਕਉ ਸੁਖੁ ਨਾਹੀ ਕੋਇ ॥
tab is ka-o sukh naahee ko-ay.
Hadi wakati huo mtu huyo haweza kupata amani.
ਜਬ ਇਹ ਜਾਨੈ ਮੈ ਕਿਛੁ ਕਰਤਾ ॥
jab ih jaanai mai kichh kartaa.
Ila, pindi binadamu huyu anapodhani kwamba yeye ndiye mtendaji wa kazi yoyote,
ਤਬ ਲਗੁ ਗਰਭ ਜੋਨਿ ਮਹਿ ਫਿਰਤਾ ॥
tab lag garabh jon meh firtaa.
Hadi wakati huo, anazurura katika mizunguko ya kuzaliwa na kufa.
ਜਬ ਧਾਰੈ ਕੋਊ ਬੈਰੀ ਮੀਤੁ ॥
jab Dhaarai ko-oo bairee meet.
Ila, pindi anapomfikiria mmoja kuwa adui, na mwingine kuwa rafiki,
ਤਬ ਲਗੁ ਨਿਹਚਲੁ ਨਾਹੀ ਚੀਤੁ ॥
tab lag nihchal naahee cheet.
Hadi wakati huo akili ya mtu huyo haitakuwa thabiti na yenye amani.
ਜਬ ਲਗੁ ਮੋਹ ਮਗਨ ਸੰਗਿ ਮਾਇ ॥
jab lag moh magan sang maa-ay.
Ila, pindi yeye anapozama katika Maya (utajiri wa kidunia),
ਤਬ ਲਗੁ ਧਰਮ ਰਾਇ ਦੇਇ ਸਜਾਇ ॥
tab lag Dharam raa-ay day-ay sajaa-ay.
Hakimu wa Haki anaendelea kutoa adhabu.
ਪ੍ਰਭ ਕਿਰਪਾ ਤੇ ਬੰਧਨ ਤੂਟੈ ॥
parabh kirpaa tay banDhan tootai.
Vifungo vya Maya (viambatisho vya kidunia) vinavunjwa kwa Neema ya Mungu,
ਗੁਰ ਪ੍ਰਸਾਦਿ ਨਾਨਕ ਹਉ ਛੂਟੈ ॥੪॥
gur parsaad naanak ha-o chhootai. ||4||
Ee Nanak, ubinafsi wa mtu unaondolewa kwa neema ya Guru.
ਸਹਸ ਖਟੇ ਲਖ ਕਉ ਉਠਿ ਧਾਵੈ ॥
sahas khatay lakh ka-o uth Dhaavai.
Baada ya kuchuma elfu moja, yeye anakimbilia milioni moja.