Swahili Page 368

ੴ ਸਤਿਗੁਰ ਪ੍ਰਸਾਦਿ ॥
ik-oNkaar satgur parsaad.
One eternal God, realized by the grace of the true Guru:
Mungu Mmoja wa milele, anayegunduliwa kwa neema ya Guru wa kweli:

ਮਹਲਾ ੪ ਰਾਗੁ ਆਸਾ ਘਰੁ ੬ ਕੇ ੩ ॥
mehlaa 4 raag aasaa ghar 6 kay 3.
Raag Aasaa, three shabads in the Sixth Beat, Fourth Guru:
Raag Aasaa, shabad tatu katika Mpigo wa Sita, Guru wa Nne:

ਹਥਿ ਕਰਿ ਤੰਤੁ ਵਜਾਵੈ ਜੋਗੀ ਥੋਥਰ ਵਾਜੈ ਬੇਨ ॥
hath kar tant vajaavai jogee thothar vaajai bayn.
Holding a guitar in his hand, a yogi strikes its strings, but the sound coming out of it is hollow (because his mind is not attuned to God’s love).
Akishika gitaa mkononi mwake, yogi anacheza nyuzi zake, lakini sauti inayotoka kwake ni tupu (kwa sababu akili yake haijamakinikia upendo wa Mungu).

ਗੁਰਮਤਿ ਹਰਿ ਗੁਣ ਬੋਲਹੁ ਜੋਗੀ ਇਹੁ ਮਨੂਆ ਹਰਿ ਰੰਗਿ ਭੇਨ ॥੧॥
gurmat har gun bolhu jogee ih manoo-aa har rang bhayn. ||1||
O’ yogi, follow the Guru’s teachings and sing God’s praises so that this mind of yours may immerse in God’s love. ||1||
Ee yogi, fuata mafundisho ya Guru na uimbe sifa za Mungu ili akili hii yako iweze kuvama katika upendo wa Mungu.

ਜੋਗੀ ਹਰਿ ਦੇਹੁ ਮਤੀ ਉਪਦੇਸੁ ॥
jogee har dayh matee updays.
O’ yogi, instruct your mind to meditate on God’s Name.
Ee yogi, elekeza akili yako kutafakari kuhusu Jina la Mungu.

ਜੁਗੁ ਜੁਗੁ ਹਰਿ ਹਰਿ ਏਕੋ ਵਰਤੈ ਤਿਸੁ ਆਗੈ ਹਮ ਆਦੇਸੁ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
jug jug har har ayko vartai tis aagai ham aadays. ||1|| rahaa-o.
It is only one God who has been pervading throughout all the ages; I humbly bow down to Him. ||1||Pause||
Ni Mungu mmoja peke yake ambaye amekuwa akienea kupitia enzi zote; nasujudu mbele yake kwa unyenyekevu. ||1||Sitisha||

ਗਾਵਹਿ ਰਾਗ ਭਾਤਿ ਬਹੁ ਬੋਲਹਿ ਇਹੁ ਮਨੂਆ ਖੇਲੈ ਖੇਲ ॥
gaavahi raag bhaat baho boleh ih manoo-aa khaylai khayl.
The yogis may be singing and reciting songs in many different musical measures, but their mind is playing tricks.
Mayogi wanaweza kuwa wanaimba na kukariri nyimbo kwa vipimo vingi tofauti vya kimuziki lakini akili yao inafanya hila.

ਜੋਵਹਿ ਕੂਪ ਸਿੰਚਨ ਕਉ ਬਸੁਧਾ ਉਠਿ ਬੈਲ ਗਏ ਚਰਿ ਬੇਲ ॥੨॥
joveh koop sinchan ka-o basuDhaa uth bail ga-ay char bayl.||2||
Their situation is like that of a farmer who might be working upon his well to irrigate his land, but his own bullocks might go and graze down his crop. ||2||
Hali yao ni kama ile ya mkulima ambaye anaweza kuwa kifanya kazi kwenye kisima chake ili kunyunyuzia maji ardhi yake, lakini fahali wake mwenyewe wanaweza kuenda kuharibu mimea yake.

ਕਾਇਆ ਨਗਰ ਮਹਿ ਕਰਮ ਹਰਿ ਬੋਵਹੁ ਹਰਿ ਜਾਮੈ ਹਰਿਆ ਖੇਤੁ ॥
kaa-i-aa nagar meh karam har bovhu har jaamai hari-aa khayt.
O’ yogi, in the farm of your body, sow the seed of meditation on God, so that a green crop of God’s Name may grow.
Ee yogi, katika shamba ya mwili wako, panda mbegu ya kutafakari kuhusu Mungu, ili mmea wa kijani kibichi wa Jina la Mungu umee.

ਮਨੂਆ ਅਸਥਿਰੁ ਬੈਲੁ ਮਨੁ ਜੋਵਹੁ ਹਰਿ ਸਿੰਚਹੁ ਗੁਰਮਤਿ ਜੇਤੁ ॥੩॥
manoo-aa asthir bail man jovhu har sinchahu gurmat jayt. ||3||
O’ Yogi, hook up your ox-like unstable mind to devotional worship and through the Gurus teachings irrigate your body-field with the water of God’s Name. ||3||
Ee Yogi, dhibiti akili yako isiyo imara kama fahali kwa ibada ya ujitoaji na kupitia mafundisho ya Guru nyunyuzia mwili-ardhi yako kwa maji ya Jina la Mungu.

ਜੋਗੀ ਜੰਗਮ ਸ੍ਰਿਸਟਿ ਸਭ ਤੁਮਰੀ ਜੋ ਦੇਹੁ ਮਤੀ ਤਿਤੁ ਚੇਲ ॥
jogee jangam sarisat sabh tumree jo dayh matee tit chayl.
O’ God, the Yogis, the wandering saints and the entire universe is Your creation; people act in accordance with the intellect blessed by You.
Ee Mungu, mayogi, watakatifu wanaotangatanga na dunia nzima ni uumbaji wako; watu wanatenda kulingana na uwekevu unaobarikiwa na Wewe.

ਜਨ ਨਾਨਕ ਕੇ ਪ੍ਰਭ ਅੰਤਰਜਾਮੀ ਹਰਿ ਲਾਵਹੁ ਮਨੂਆ ਪੇਲ ॥੪॥੯॥੬੧॥
jan naanak kay parabh antarjaamee har laavhu manoo-aa payl. ||4||9||61||
O’ God, the knower of hearts, please attach our minds to Your loving adoration, prays Nanak. ||4||9||61||
Ee Mungu, mjua wa mioyo, tafadhali ambatisha akili zetu kwa kuabudu kwako kwa upendo, anaomba Nanak.

ਆਸਾ ਮਹਲਾ ੪ ॥
aasaa mehlaa 4.
Raag Aasaa, Fourth Guru:
Raag Aasaa, Guru wa Nne:

ਕਬ ਕੋ ਭਾਲੈ ਘੁੰਘਰੂ ਤਾਲਾ ਕਬ ਕੋ ਬਜਾਵੈ ਰਬਾਬੁ ॥
kab ko bhaalai ghunghroo taalaa kab ko bajaavai rabaab.
Why should one look for the ankle bells and cymbals? why should one play the guitar and other musical instruments?
Kwa nini mtu atafute kengele za kisigino na matoazi? Kwa nini mtu acheze gitaa na ala nyingine za muziki?

ਆਵਤ ਜਾਤ ਬਾਰ ਖਿਨੁ ਲਾਗੈ ਹਉ ਤਬ ਲਗੁ ਸਮਾਰਉ ਨਾਮੁ ॥੧॥
aavat jaat baar khin laagai ha-o tab lag samaara-o naam. ||1||
Instead of wasting time in searching and bringing these instruments, I would rather meditate on God’s Name . ||1||
Badala ya kuharibu wakati kwa kutafuta na kuleta ala hizo, ni afadhali nitafakari kuhusu Jina la Mungu.

ਮੇਰੈ ਮਨਿ ਐਸੀ ਭਗਤਿ ਬਨਿ ਆਈ ॥
mayrai man aisee bhagat ban aa-ee.
Such a devotion has developed in my mind,
Ujitoaji kama huo umesitawi akilini mwangu,

ਹਉ ਹਰਿ ਬਿਨੁ ਖਿਨੁ ਪਲੁ ਰਹਿ ਨ ਸਕਉ ਜੈਸੇ ਜਲ ਬਿਨੁ ਮੀਨੁ ਮਰਿ ਜਾਈ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
ha-o har bin khin pal reh na saka-o jaisay jal bin meen mar jaa-ee.||1|| rahaa-o.
that I cannot spiritually survive without remembering God even for an instant, just as a fish dies without water. ||1||Pause||
kwamba siwezi kuishi kiroho bila kumkumbuka Mungu hata kwa muda mfupi, kama vile samaki anakufa bila maji. ||1||Sitisha||

ਕਬ ਕੋਊ ਮੇਲੈ ਪੰਚ ਸਤ ਗਾਇਣ ਕਬ ਕੋ ਰਾਗ ਧੁਨਿ ਉਠਾਵੈ ॥
kab ko-oo maylai panch sat gaa-in kab ko raag Dhun utdaavai.
Why one must tune the five strings and put together the seven tunes? why should one raise the voices in melody?
Kwa nini mtu lazima atuni nyuzi tano na kutunga tuni saba? Kwa nini mtu apaze sauti yake katika melodia?

ਮੇਲਤ ਚੁਨਤ ਖਿਨੁ ਪਲੁ ਚਸਾ ਲਾਗੈ ਤਬ ਲਗੁ ਮੇਰਾ ਮਨੁ ਰਾਮ ਗੁਨ ਗਾਵੈ ॥੨॥
maylat chunat khin pal chasaa laagai tab lag mayraa man raam gun gaavai. ||2||
It takes at least a moment to tune and assemble this musical tools, my mind would rather sing God’s praises in that time.||2||
Inachukua angalau muda fulani kutuni na kukusanya vifaa hivi vya muziki, akili yangu inaafadhalisha kuimba sifa za Mungu kwa muda huo.

ਕਬ ਕੋ ਨਾਚੈ ਪਾਵ ਪਸਾਰੈ ਕਬ ਕੋ ਹਾਥ ਪਸਾਰੈ ॥
kab ko naachai paav pasaarai kab ko haath pasaarai.
Why should someone put his feet in a proper posture and then dance with various hand gestures and feet positions?
Kwa nini mtu aweke miguu yake katika mkao unaofaa na kisha kudensi kwa ishara tofauti za mkono na vikao vya miguu?

ਹਾਥ ਪਾਵ ਪਸਾਰਤ ਬਿਲਮੁ ਤਿਲੁ ਲਾਗੈ ਤਬ ਲਗੁ ਮੇਰਾ ਮਨੁ ਰਾਮ ਸਮ੍ਹ੍ਹਾਰੈ ॥੩॥
haath paav pasaarat bilam til laagai tab lag mayraa man raam samHaarai. ||3||
Stretching out one’s hands and feet, there is a moment’s delay, in that time my mind would rather meditate on God. ||3||
Kwa kunyoosha mikono na miguu ya mtu, kuna kuchelea kwa muda mfupi, katika muda huo akili yangu inaafadhalisha kutafakari kuhusu Mungu.

ਕਬ ਕੋਊ ਲੋਗਨ ਕਉ ਪਤੀਆਵੈ ਲੋਕਿ ਪਤੀਣੈ ਨਾ ਪਤਿ ਹੋਇ ॥
kab ko-oo logan ka-o patee-aavai lok pateenai naa pat ho-ay.
Why should one try to impress people with dances and songs? even if people are impressed, it does not bring honor in God’s court.
Kwa nini mtu ajaribu kuvutia wengine kwa densi na nyimbo? Hta iwapo watu wanavutiwa, haileti staha kwa mahakama ya Mungu.

ਜਨ ਨਾਨਕ ਹਰਿ ਹਿਰਦੈ ਸਦ ਧਿਆਵਹੁ ਤਾ ਜੈ ਜੈ ਕਰੇ ਸਭੁ ਕੋਇ ॥੪॥੧੦॥੬੨॥
jan naanak har hirdai sad Dhi-aavahu taa jai jai karay sabh ko-ay. ||4||10||62||
O’ Nanak, always meditate on God in your heart, then everybody would honor and respect you.||4||10||62||
Ee Nanak, tafakari daima kuhusu Mungu moyoni mwako, kisha kila mtu anakuenzi na kukuheshimu.

ਆਸਾ ਮਹਲਾ ੪ ॥
aasaa mehlaa 4.
Raag Aasaa, Fourth Guru:
Raag Aasaa, Guru wa Nne:

ਸਤਸੰਗਤਿ ਮਿਲੀਐ ਹਰਿ ਸਾਧੂ ਮਿਲਿ ਸੰਗਤਿ ਹਰਿ ਗੁਣ ਗਾਇ ॥
satsangat milee-ai har saaDhoo mil sangat har gun gaa-ay.
Join the holy congregation of God’s saints and in their company sing the glorious praises of God.
Jiunge na ushirika mtakatifu wa watakatifu wa Mungu na katika uandamano wao imba sifa tukufu za Mungu.

ਗਿਆਨ ਰਤਨੁ ਬਲਿਆ ਘਟਿ ਚਾਨਣੁ ਅਗਿਆਨੁ ਅੰਧੇਰਾ ਜਾਇ ॥੧॥
gi-aan ratan bali-aa ghat chaanan agi-aan anDhayraa jaa-ay. ||1||
With the light of jewel- like precious spiritual wisdom, the heart is illuminated and the darkness of ignorance is dispelled. ||1||
Kwa mwanga wa hekima ya kiroho kama kito, moyo unaangazwa na giza ya ujinga inaondolewa.

ਹਰਿ ਜਨ ਨਾਚਹੁ ਹਰਿ ਹਰਿ ਧਿਆਇ ॥
har jan naachahu har har Dhi-aa-ay.
O’ the devotees of God, let meditation on God’s Name be your dancing.
Ee watawa wa Mungu, acheni kutafakari kwa Jina la Mungu kuwe kucheza kwenu.

ਐਸੇ ਸੰਤ ਮਿਲਹਿ ਮੇਰੇ ਭਾਈ ਹਮ ਜਨ ਕੇ ਧੋਵਹ ਪਾਇ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
aisay sant mileh mayray bhaa-ee ham jan kay Dhovah paa-ay. ||1|| rahaa-o.
O’ my brother, if I could meet such saints, I would wash their feet (I would humbly serve them). ||1||Pause||
Ee ndugu yangu, iwapo ningeweza kukutana na watakatifu kama hao, nitaosha miguu yao (nitawatumikia kwa unyenyekevu). ||1||Sitisha||

ਹਰਿ ਹਰਿ ਨਾਮੁ ਜਪਹੁ ਮਨ ਮੇਰੇ ਅਨਦਿਨੁ ਹਰਿ ਲਿਵ ਲਾਇ ॥
har har naam japahu man mayray an-din har liv laa-ay.
O’ my mind, remaining attuned to God, always meditate on God’s Name.
Ee akili yangu, kwa kubaki umemakinikia Mungu, tafakari daima kuhusu Jina la Mungu.

ਜੋ ਇਛਹੁ ਸੋਈ ਫਲੁ ਪਾਵਹੁ ਫਿਰਿ ਭੂਖ ਨ ਲਾਗੈ ਆਇ ॥੨॥
jo ichhahu so-ee fal paavhu fir bhookh na laagai aa-ay.||2||
You would obtain whatever you wish and longing for Maya would never afflict you again. ||2||
Utapata chochote unachotaka na tamaa ya Maya haitakuathiri tena.

ਆਪੇ ਹਰਿ ਅਪਰੰਪਰੁ ਕਰਤਾ ਹਰਿ ਆਪੇ ਬੋਲਿ ਬੁਲਾਇ ॥
aapay har aprampar kartaa har aapay bol bulaa-ay.
The Infinite God Himself is the Creator; He Himself causes us to recite and meditate on His Name.
Mungu Mwenyewe asiye na mwisho ndiye Muumba; Yeye Mwenyewe anatufanya tukariri na tutafakari kuhusu Jina lake.

ਸੇਈ ਸੰਤ ਭਲੇ ਤੁਧੁ ਭਾਵਹਿ ਜਿਨ੍ਹ੍ਹ ਕੀ ਪਤਿ ਪਾਵਹਿ ਥਾਇ ॥੩॥
say-ee sant bhalay tuDh bhaaveh jinH kee pat paavahi thaa-ay. ||3||
O’ God, only those saints are good who are pleasing to You and whose honor is approved in Your court. ||3||
Ee Mungu, watakatifu hao pekee ni wazuri ambao wanapendeza kwako Wewe na ambao staha yao imeidhinishwa katika mahakama Yako.

ਨਾਨਕੁ ਆਖਿ ਨ ਰਾਜੈ ਹਰਿ ਗੁਣ ਜਿਉ ਆਖੈ ਤਿਉ ਸੁਖੁ ਪਾਇ ॥
naanak aakh na raajai har gun ji-o aakhai ti-o sukh paa-ay.
Nanak does not get satiated by chanting God’s glorious praises; the more he recites them, the more he is at peace.
Nanak hatoshelezwi kwa kuimba sifa tukufu za Mungu; anavyozidi kuzikariri, ndivyo anavyozidi kuwa na amani.

ਭਗਤਿ ਭੰਡਾਰ ਦੀਏ ਹਰਿ ਅਪੁਨੇ ਗੁਣ ਗਾਹਕੁ ਵਣਜਿ ਲੈ ਜਾਇ ॥੪॥੧੧॥੬੩॥
bhagat bhandaar dee-ay har apunay gun gaahak vanaj lai jaa-ay. ||4||11||63||
God has blessed the treasure of devotional worship to people; but only His true devotee departs from this world with these virtues. ||4||11||63||
Mungu amebariki watu na hazina ya ibada ya ujitoaji; lakini mtawa wake wa kweli pekee anaondoka kutoka dunia hii na fadhila hizi.