Swahili Page 206

ਕਰਿ ਕਰਿ ਹਾਰਿਓ ਅਨਿਕ ਬਹੁ ਭਾਤੀ ਛੋਡਹਿ ਕਤਹੂੰ ਨਾਹੀ ॥
kar kar haari-o anik baho bhaatee chhodeh katahooN naahee.
O’ God, I have grown weary, trying different ways to get rid of my vices but these evils do not loosen their grip on me.
Ee Mungu, nimechoka, nikijaribu njia tofauti za kuondoa maovu yangu lakini maovu haya hayalegezi mshiko wao kwangu.

ਏਕ ਬਾਤ ਸੁਨਿ ਤਾਕੀ ਓਟਾ ਸਾਧਸੰਗਿ ਮਿਟਿ ਜਾਹੀ ॥੨॥
ayk baat sun taakee otaa saaDhsang mit jaahee. ||2||
I have heard that these vices can be rooted out by being in the Company of saints and I have sought their refuge.||2||
Nimesikia ya kwamba maovu haya yanaweza kuondolewa kabisa kwa kuwa katika Uandamano wa watakatifu na nimetafuta kimbilio chao.

ਕਰਿ ਕਿਰਪਾ ਸੰਤ ਮਿਲੇ ਮੋਹਿ ਤਿਨ ਤੇ ਧੀਰਜੁ ਪਾਇਆ ॥
kar kirpaa sant milay mohi tin tay Dheeraj paa-i-aa.
In their mercy, the saints met me and they blessed me with solace.
Katika huruma yao, watakatifu walikutana nami na kunibariki na liwazo.

ਸੰਤੀ ਮੰਤੁ ਦੀਓ ਮੋਹਿ ਨਿਰਭਉ ਗੁਰ ਕਾ ਸਬਦੁ ਕਮਾਇਆ ॥੩॥
santee mant dee-o mohi nirbha-o gur kaa sabad kamaa-i-aa. ||3||
The saint-Guru gave me the mantra that makes one fearless from these vices and I have made meditation on Naam a part of my life. ||3||
Guru-mtakatifu alinipa mantra inayofanya mtu awe bila woga kutoka maovu haya na nimefanya kutafakari kuhusu Naam kuwe sehemu ya maisha yangu.

ਜੀਤਿ ਲਏ ਓਇ ਮਹਾ ਬਿਖਾਦੀ ਸਹਜ ਸੁਹੇਲੀ ਬਾਣੀ ॥
jeet la-ay o-ay mahaa bikhaadee sahj suhaylee banee.
I have now conquered those terrible evil-doers through the peace giving teachings of the Guru.
Sasa nimeshinda hao wanaotenda maovu kupitia mafundisho yanayotoa amani ya Guru.

ਕਹੁ ਨਾਨਕ ਮਨਿ ਭਇਆ ਪਰਗਾਸਾ ਪਾਇਆ ਪਦੁ ਨਿਰਬਾਣੀ ॥੪॥੪॥੧੨੫॥
kaho naanak man bha-i-aa pargaasaa paa-i-aa pad nirbaanee. ||4||4||125||
Nanak says, “My mind has been illuminated with divine wisdom and I have attained the exalted state where no evil desire can afflict me.” ||4||4||125||
Nanak anasema, “Akili yangu imeangazwa kwa hekima takatifu na nimefikia hali iliyoinuliwa juu ambamo hakuna hamu mbaya inaweza kuniathiri.

ਗਉੜੀ ਮਹਲਾ ੫ ॥
ga-orhee mehlaa 5.
Raag Gauree, Fifth Guru:
Raag Gauree, Guru wa Tano:

ਓਹੁ ਅਬਿਨਾਸੀ ਰਾਇਆ ॥
oh abhinaasee raa-i-aa.
O’ God, You are the eternal sovereign King.
Ee Mungu, Wewe ndiwe Mfalme mwenyezi wa milele.

ਨਿਰਭਉ ਸੰਗਿ ਤੁਮਾਰੈ ਬਸਤੇ ਇਹੁ ਡਰਨੁ ਕਹਾ ਤੇ ਆਇਆ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
nirbha-o sang tumaarai bastay ih daran kahaa tay aa-i-aa. ||1|| rahaa-o.
Those who always meditate on You, become fearless and are not afraid of anything. ||1||pause||
Wale ambao wanatafakari kukuhusu daima, wanakuwa wasio na hofu wala hawaogopi chochote. ||1||sitisha||

ਏਕ ਮਹਲਿ ਤੂੰ ਹੋਹਿ ਅਫਾਰੋ ਏਕ ਮਹਲਿ ਨਿਮਾਨੋ ॥
ayk mahal tooN hohi afaaro ayk mahal nimaano.
In some, You manifest with arrogance and in others, You are oppressed.
Kwa wengine, unadhihirika kwa kiburi na kwa wengine, Wewe unanyanyaswa.

ਏਕ ਮਹਲਿ ਤੂੰ ਆਪੇ ਆਪੇ ਏਕ ਮਹਲਿ ਗਰੀਬਾਨੋ ॥੧॥
ayk mahal tooN aapay aapay ayk mahal gareebaano. ||1||
In one person, You are all powerful and in another, You are miserable. ||1||
Kwa mtu mmoja, Wewe ni mwenye nguvu na kwa mwengine, Wewe umetaabika.

ਏਕ ਮਹਲਿ ਤੂੰ ਪੰਡਿਤੁ ਬਕਤਾ ਏਕ ਮਹਲਿ ਖਲੁ ਹੋਤਾ ॥
ayk mahal tooN pandit baktaa ayk mahal khal hotaa.
O’ God, in one person You are like a learned preacher but in another one, You act like a fool.
Ee Mungu, kwa mtu mmoja Wewe ni kama mhubiri aliyeelimika lakini kwa mwengine, Wewe unatenda kama mpumbavu.

ਏਕ ਮਹਲਿ ਤੂੰ ਸਭੁ ਕਿਛੁ ਗ੍ਰਾਹਜੁ ਏਕ ਮਹਲਿ ਕਛੂ ਨ ਲੇਤਾ ॥੨॥
ayk mahal tooN sabh kichh garaahaj ayk mahal kachhoo na laytaa. ||2||
In one person, You amass everything and in another, You accept nothing. ||2||
Kwa mtu mmoja, unakusanya kila kitu na kwa mwengine, hukubali chochote.

ਕਾਠ ਕੀ ਪੁਤਰੀ ਕਹਾ ਕਰੈ ਬਪੁਰੀ ਖਿਲਾਵਨਹਾਰੋ ਜਾਨੈ ॥
kaath kee putree kahaa karai bapuree khilaavanhaaro jaanai.
What can the poor wooden puppet do? The Master Puppeteer knows it all.
Karagosi ya mbao duni inaweza kufanya nini? Mtaalam anayechezesha vikaragosi anajua yote.

ਜੈਸਾ ਭੇਖੁ ਕਰਾਵੈ ਬਾਜੀਗਰੁ ਓਹੁ ਤੈਸੋ ਹੀ ਸਾਜੁ ਆਨੈ ॥੩॥
jaisaa bhaykh karaavai baajeegar oh taiso hee saaj aanai. ||3||
Whatever role the Master assigns it, the puppet plays accordingly. ||3||
Daraka lolote ambalo Bwana anaiteulia, karagosi analicheza hivyo.

ਅਨਿਕ ਕੋਠਰੀ ਬਹੁਤੁ ਭਾਤਿ ਕਰੀਆ ਆਪਿ ਹੋਆ ਰਖਵਾਰਾ ॥
anik kothree bahut bhaat karee-aa aap ho-aa rakhvaaraa.
God has fashioned countless different species of creatures and He Himself is their protector.
Mungu ametengeneza spishi tofauti za viumbe zisizohesabika na Yeye mwenyewe ndiye mlinzi wao.

ਜੈਸੇ ਮਹਲਿ ਰਾਖੈ ਤੈਸੈ ਰਹਨਾ ਕਿਆ ਇਹੁ ਕਰੈ ਬਿਚਾਰਾ ॥੪॥
jaisay mahal raakhai taisai rahnaa ki-aa ih karai bichaaraa. ||4||
The soul has to dwell whatever kind of body God places it in; on its own what can this poor soul do? ||4||
Roho inapaswa kuishi katika aina yoyote ya mwili ambao Mungu ameiweka ndani; yenyewe roho hii duni inaweza kufanya nini?

ਜਿਨਿ ਕਿਛੁ ਕੀਆ ਸੋਈ ਜਾਨੈ ਜਿਨਿ ਇਹ ਸਭ ਬਿਧਿ ਸਾਜੀ ॥
jin kichh kee-aa so-ee jaanai jin ih sabh biDh saajee.
The One who has created this universe, knows the secret of its working.
Yule ambaye ameumba ulimwengu huu, anajua siri ya utendakazi wake.

ਕਹੁ ਨਾਨਕ ਅਪਰੰਪਰ ਸੁਆਮੀ ਕੀਮਤਿ ਅਪੁਨੇ ਕਾਜੀ ॥੫॥੫॥੧੨੬॥
kaho naanak aprampar su-aamee keemat apunay kaajee. ||5||5||126||
Nanak says, the infinite God alone knows the worth of His doings. ||5||5||126||
Nanak anasema, Mungu asiye na mwisho anajua thamani ya vitendo Vyake.

ਗਉੜੀ ਮਹਲਾ ੫ ॥
ga-orhee mehlaa 5.
Raag Gauree, Fifth Guru:
Raag Gauree, Guru wa Tano:

ਛੋਡਿ ਛੋਡਿ ਰੇ ਬਿਖਿਆ ਕੇ ਰਸੂਆ ॥
chhod chhod ray bikhi-aa kay rasoo-aa.
Give up the pleasures of Maya.
Achana na raha za Maya.

ਉਰਝਿ ਰਹਿਓ ਰੇ ਬਾਵਰ ਗਾਵਰ ਜਿਉ ਕਿਰਖੈ ਹਰਿਆਇਓ ਪਸੂਆ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
urajh rahi-o ray baavar gaavar ji-o kirkhai hari-aa-i-o pasoo-aa. ||1|| rahaa-o.
O’ foolish and crazy person you are entangled in these pleasures like an animal engrossed in the green pasture. |1||pause||
Ee mtu mpumbavu uliye na kichaa umenaswa katika raha hizi kama mnyama aliyevama katika malisho ya kijani kibichi. ||1||sitisha||

ਜੋ ਜਾਨਹਿ ਤੂੰ ਅਪੁਨੇ ਕਾਜੈ ਸੋ ਸੰਗਿ ਨ ਚਾਲੈ ਤੇਰੈ ਤਸੂਆ ॥
jo jaaneh tooN apunay kaajai so sang na chaalai tayrai tasoo-aa.
O’ human being, what you think is going to benefit you after death, not even a part thereof is going to accompany you.
Ee binadamu, unachodhani kitakuwa na manufaa kwako baada ya kifo, hakuna hata kipande chake kitaambatana nawe.

ਨਾਗੋ ਆਇਓ ਨਾਗ ਸਿਧਾਸੀ ਫੇਰਿ ਫਿਰਿਓ ਅਰੁ ਕਾਲਿ ਗਰਸੂਆ ॥੧॥
naago aa-i-o naag siDhaasee fayr firi-o ar kaal garsoo-aa. ||1||
You came with nothing and you shall depart with nothing; you are spiritually dead and are wandering in the cycles of birth and death. ||1||
Ulikuja bila chochote na utaondoka bila chochote; wewe umekufa kiroho na unazurura katika mizunguko ya kuzaliwa na kufa.

ਪੇਖਿ ਪੇਖਿ ਰੇ ਕਸੁੰਭ ਕੀ ਲੀਲਾ ਰਾਚਿ ਮਾਚਿ ਤਿਨਹੂੰ ਲਉ ਹਸੂਆ ॥
paykh paykh ray kasumbh kee leelaa raach maach tinhooN la-o hasoo-aa.
You are engrossed in the pleasures of the world which are of transitory nature like a safflower.
Umevama katika raha za dunia ambazo hazidumu kama saflawa.

ਛੀਜਤ ਡੋਰਿ ਦਿਨਸੁ ਅਰੁ ਰੈਨੀ ਜੀਅ ਕੋ ਕਾਜੁ ਨ ਕੀਨੋ ਕਛੂਆ ॥੨॥
chheejat dor dinas ar rainee jee-a ko kaaj na keeno kachhoo-aa. ||2||
With each passing day, the span of remaining life is shortening and You haven’t done a thing of real value for your soul. ||2||
Kwa kila uchao, muda wa kuishi unaobaki unafupika na hujafanya chochote cha thamana halisi kwa roho yako.

ਕਰਤ ਕਰਤ ਇਵ ਹੀ ਬਿਰਧਾਨੋ ਹਾਰਿਓ ਉਕਤੇ ਤਨੁ ਖੀਨਸੂਆ ॥
karat karat iv hee birDhaano haari-o uktay tan kheensoo-aa.
Performing your worldly deeds, you have grown old; your voice is failing you and your body has become weak.
Ukitenda kazi zako za kidunia, umezeeka; sauti yako inafifia na mwili wako umekuwa mnyonge.

ਜਿਉ ਮੋਹਿਓ ਉਨਿ ਮੋਹਨੀ ਬਾਲਾ ਉਸ ਤੇ ਘਟੈ ਨਾਹੀ ਰੁਚ ਚਸੂਆ ॥੩॥
ji-o mohi-o un mohnee baalaa us tay ghatai naahee ruch chasoo-aa. ||3||
Just as you were lured by Maya in your youth, your involvement in it has not lessened one little bit in the old age. ||3||
Kama vile ulivutiwa na Maya katika ujana wako, kujihusisha kwako katika Maya hakujapungua hata kidogo katika uzee.

ਜਗੁ ਐਸਾ ਮੋਹਿ ਗੁਰਹਿ ਦਿਖਾਇਓ ਤਉ ਸਰਣਿ ਪਰਿਓ ਤਜਿ ਗਰਬਸੂਆ ॥
jag aisaa mohi gureh dikhaa-i-o ta-o saran pari-o taj garabsu-aa.
The Guru showed me that such is the way of the world; since then abandoning the egotistical pride, I have entered the Guru’s refuge.
Guru alinionyesha kwamba huo ndio mtindo wa dunia; tangu wakati huo kwa kujitenga na fahari ya ubinafsi, nimeingia kimbilio cha Guru.

ਮਾਰਗੁ ਪ੍ਰਭ ਕੋ ਸੰਤਿ ਬਤਾਇਓ ਦ੍ਰਿੜੀ ਨਾਨਕ ਦਾਸ ਭਗਤਿ ਹਰਿ ਜਸੂਆ ॥੪॥੬॥੧੨੭॥
maarag parabh ko sant bataa-i-o darirhee naanak daas bhagat har jasoo-aa. ||4||6||127||
O’ Nanak, the Guru has shown me the way to unite with God and I am resolutely engaged in the devotional worship by singing His praises. ||4||6||127||
Ee Nanak, Guru amenionyesha njia ya kuungana na Mungu na nimejishughulisha kwa uthabiti katika ibada ya kujitolea kwa kuimba sifa Zake.

ਗਉੜੀ ਮਹਲਾ ੫ ॥
ga-orhee mehlaa 5.
Raag Gauree, Fifth Guru:
Raag Gauree, Guru wa Tano:

ਤੁਝ ਬਿਨੁ ਕਵਨੁ ਹਮਾਰਾ ॥ ਮੇਰੇ ਪ੍ਰੀਤਮ ਪ੍ਰਾਨ ਅਧਾਰਾ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
tujh bin kavan hamara. mayray preetam paraan aDhaaraa. ||1|| rahaa-o.
O’ my beloved God, the support of my life! who else is my support beside You? ||1||pause||
Ee Mungu wangu mpendwa, tegemezo ya masiha yangu! Nani mwengine ni tegemezo yangu isipokuwa Wewe? ||1||sitisha||

ਅੰਤਰ ਕੀ ਬਿਧਿ ਤੁਮ ਹੀ ਜਾਨੀ ਤੁਮ ਹੀ ਸਜਨ ਸੁਹੇਲੇ ॥
antar kee biDh tum hee jaanee tum hee sajan suhaylay.
You alone know the inner state of my mind. You alone are my real friend and bestower of peace.
Wewe pekee unajua hali ya ndani ya akili yangu. Wewe pekee ndiye rafiki wangu halisi na mtawaza wa amani.

ਸਰਬ ਸੁਖਾ ਮੈ ਤੁਝ ਤੇ ਪਾਏ ਮੇਰੇ ਠਾਕੁਰ ਅਗਹ ਅਤੋਲੇ ॥੧॥
sarab sukhaa mai tujh tay paa-ay mayray thaakur agah atolay. ||1||
O’ my unfathomable and infinite God, I have received every comfort and peace from You. ||1||
Ee Mungu wangu usiyefahamika na usiye na mwisho, nimepokea kila starehe na amani kutoka kwako.

error: Content is protected !!