Swahili Page 69

ਸਿਰੀਰਾਗੁ ਮਹਲਾ ੩ ॥
sireeraag mehlaa 3.
Siree Raag, by the Third Guru:
Siree Raag, na Guru wa tatu:

ਸਤਿਗੁਰਿ ਮਿਲਿਐ ਫੇਰੁ ਨ ਪਵੈ ਜਨਮ ਮਰਣ ਦੁਖੁ ਜਾਇ ॥
satgur mili-ai fayr na pavai janam maran dukh jaa-ay.
Meeting with the Guru, one does not have to wander through (millions of species), and the pains of birth and death goes away.
Kukutana na Guru, mtu hapaswi kuzurura akipita (mamilioni ya spishi), na uchungu wa kuzaliwa na kufa unaondoka.

ਪੂਰੈ ਸਬਦਿ ਸਭ ਸੋਝੀ ਹੋਈ ਹਰਿ ਨਾਮੈ ਰਹੈ ਸਮਾਇ ॥੧॥
poorai sabad sabh sojhee ho-ee har naamai rahai samaa-ay. ||1||
Through the perfect word of the Guru, one obtains full understanding, and remains absorbed in God’s Name.
Kupitia neno kamili la Guru, mtu amapata uelewa kamili, na anabaki amezama katika Jina la Mungu.

ਮਨ ਮੇਰੇ ਸਤਿਗੁਰ ਸਿਉ ਚਿਤੁ ਲਾਇ ॥
man mayray satgur si-o chit laa-ay.
O’ my mind, focus your consciousness on the True Guru’s word.
Ee akili yangu, makinisha fahamu yako kwa neno la Guru wa kweli.

ਨਿਰਮਲੁ ਨਾਮੁ ਸਦ ਨਵਤਨੋ ਆਪਿ ਵਸੈ ਮਨਿ ਆਇ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
nirmal naam sad navtano aap vasai man aa-ay. ||1|| rahaa-o.
The Immaculate Naam itself, ever-fresh, comes to dwell within the mind.
Naam yenye weupe yenyewe, safi daima, inakuja kuishi akilini.

ਹਰਿ ਜੀਉ ਰਾਖਹੁ ਅਪੁਨੀ ਸਰਣਾਈ ਜਿਉ ਰਾਖਹਿ ਤਿਉ ਰਹਣਾ ॥
har jee-o raakho apunee sarnaa-ee ji-o raakhahi ti-o rahnaa.
O’ God, in whatever (spiritual) state You keep us, we have to remain in that state. Please keep us in Your Sanctuary.
Ee Mungu, katika hali yoyote (ya kiroho) unayotuweka, tunapaswa kubaki katika hali hiyo. Tafadhali tuweke Pahala pako patakatifu.

ਗੁਰ ਕੈ ਸਬਦਿ ਜੀਵਤੁ ਮਰੈ ਗੁਰਮੁਖਿ ਭਵਜਲੁ ਤਰਣਾ ॥੨॥
gur kai sabad jeevat marai gurmukh bhavjal tarnaa. ||2||
By following the Guru’s Word, a person completely erases his ego (dead while yet alive), and swims across the terrifying world ocean of vices.
Kwa kufuata Neno la Guru, mtu anafuta ubinafsi wake kabisa (mfu akiwa bado hai), na kuogelea akivuka bahari dunia ya dhambi inayoogofya.

ਵਡੈ ਭਾਗਿ ਨਾਉ ਪਾਈਐ ਗੁਰਮਤਿ ਸਬਦਿ ਸੁਹਾਈ ॥
vadai bhaag naa-o paa-ee-ai gurmat sabad suhaa-ee.
By great good fortune, Naam is obtained. Following the Guru’s Teachings, through his word, one’s life becomes beautiful.
Kwa bahati nzuri kuu, Naam inapokelewa. Kwa kufuata mafundisho ya Guru, kupitia neno lake, maisha ya mtu yanakuwa mazuri.

ਆਪੇ ਮਨਿ ਵਸਿਆ ਪ੍ਰਭੁ ਕਰਤਾ ਸਹਜੇ ਰਹਿਆ ਸਮਾਈ ॥੩॥
aapay man vasi-aa parabh kartaa sehjay rahi-aa samaa-ee. ||3||
God, the Creator Himself, intuitively comes to dwells within the mind.
Mungu, Muumba mwenyewe, anakuja kuishi akilini kiasili.

ਇਕਨਾ ਮਨਮੁਖਿ ਸਬਦੁ ਨ ਭਾਵੈ ਬੰਧਨਿ ਬੰਧਿ ਭਵਾਇਆ ॥
iknaa manmukh sabad na bhaavai banDhan banDh bhavaa-i-aa.
There are some self-willed people; to whom the Guru’s word is not pleasing.. Bound in chains of Maya, they wander in cycle of birth and death.
Kuna watu wengine wenye wasia ya kibinafsi; ambao kwao neno la Guru halipendezi. Wakifungwa kwa minyororo ya Maya, wanazurura katika mzunguko wa kuzaliwa na kufa.

ਲਖ ਚਉਰਾਸੀਹ ਫਿਰਿ ਫਿਰਿ ਆਵੈ ਬਿਰਥਾ ਜਨਮੁ ਗਵਾਇਆ ॥੪॥
lakh cha-oraaseeh fir fir aavai birthaa janam gavaa-i-aa. ||4||
They repeatedly go through millions of births, and waste away their lives in vain.
Mara kwa mara wanapitia mamilioni ya kuzaliwa, na wanaharibu maisha zao bure.

ਭਗਤਾ ਮਨਿ ਆਨੰਦੁ ਹੈ ਸਚੈ ਸਬਦਿ ਰੰਗਿ ਰਾਤੇ ॥
bhagtaa man aanand hai sachai sabad rang raatay.
In the minds of the devotees there is bliss; they are imbued with the Love of the Divine Word.
Akilini mwa wafuasi kuna furaha tele; wamejawa na Upendo wa Neno Takatifu.

ਅਨਦਿਨੁ ਗੁਣ ਗਾਵਹਿ ਸਦ ਨਿਰਮਲ ਸਹਜੇ ਨਾਮਿ ਸਮਾਤੇ ॥੫॥
an-din gun gaavahi sad nirmal sehjay naam samaatay. ||5||
They always sing praises of the immaculate God; and remain intuitively merged in His Name.
Daima wanaimba sifa za Mungu mwenye weupe; na kiasili wanabaki wameungana na Jina lake.

ਗੁਰਮੁਖਿ ਅੰਮ੍ਰਿਤ ਬਾਣੀ ਬੋਲਹਿ ਸਭ ਆਤਮ ਰਾਮੁ ਪਛਾਣੀ ॥
gurmukh amrit banee boleh sabh aatam raam pachhaanee.
Gurus Followers always utter the sweet words, they recognize God, the Supreme Soul in all.
Wafuasi wa Guru daima wanatamka maneno matamu, wanatambua Mungu, Roho Kuu kwa wote.

ਏਕੋ ਸੇਵਨਿ ਏਕੁ ਅਰਾਧਹਿ ਗੁਰਮੁਖਿ ਅਕਥ ਕਹਾਣੀ ॥੬॥
ayko sayvan ayk araaDheh gurmukh akath kahaanee. ||6||
They serve the One; they worship and adore the One. The Guru’s followersdeliberate about God’s virtues which are beyond description.
Wanatumikia yule Mmoja; wanaabudu na kutukuza yule Mmoja. Wafuasi wa Guru wanajadiliana kuhusu fadhila za Mungu ambazo zimezidi maelezo.

ਸਚਾ ਸਾਹਿਬੁ ਸੇਵੀਐ ਗੁਰਮੁਖਿ ਵਸੈ ਮਨਿ ਆਇ ॥
sachaa saahib sayvee-ai gurmukh vasai man aa-ay.
We should lovingly meditate on the Eternal Master through the Guru’s word. They who does God comes to dwell in their hearts.
Tunafaa kutafakari kwa upendo kuhusu Bwana wa milele kupitia neno la Guru. Wale wanaofanya hivyo Mungu anakuja kuishi mioyoni mwao.

ਸਦਾ ਰੰਗਿ ਰਾਤੇ ਸਚ ਸਿਉ ਅਪੁਨੀ ਕਿਰਪਾ ਕਰੇ ਮਿਲਾਇ ॥੭॥
sadaa rang raatay sach si-o apunee kirpaa karay milaa-ay. ||7||
To those, who are forever imbued with His love, He bestows His Mercy and unites them with Himself.
Kwa wale, ambao daima wamejawa na upendo wake, anatawaza kwao huruma yake na kuwaunganisha naye.

ਆਪੇ ਕਰੇ ਕਰਾਏ ਆਪੇ ਇਕਨਾ ਸੁਤਿਆ ਦੇਇ ਜਗਾਇ ॥
aapay karay karaa-ay aapay iknaa suti-aa day-ay jagaa-ay.
He Himself does, and He Himself causes others to do; He wakes some from their sleep (of Maya).
Yeye mwenyewe anatenda, na Yeye mwenyewe anafanya wengine watende; anaamsha wengine kutoka usingizi wao (wa Maya).

ਆਪੇ ਮੇਲਿ ਮਿਲਾਇਦਾ ਨਾਨਕ ਸਬਦਿ ਸਮਾਇ ॥੮॥੭॥੨੪॥
aapay mayl milaa-idaa naanak sabad samaa-ay. ||8||7||24||
O’ Nanak, on His own, God unites them with Himself by uniting them the Guru’s word.
Ee Nanak, kwa hiari yake, Mungu anawaunganisha naye kwa kuwaunganisha na neno la Guru.

ਸਿਰੀਰਾਗੁ ਮਹਲਾ ੩ ॥
sireeraag mehlaa 3.
Siree Raag, by the Third Guru:
Siree Raag, na Guru wa tatu:

ਸਤਿਗੁਰਿ ਸੇਵਿਐ ਮਨੁ ਨਿਰਮਲਾ ਭਏ ਪਵਿਤੁ ਸਰੀਰ ॥
satgur sayvi-ai man nirmalaa bha-ay pavit sareer.
By serving and following the teachings of the True Guru, the mind becomes immaculate, and the body becomes pure.
Kwa kutumikia na kufuata mafundisho ya Guru wa kweli, akili inakuwa mweupe, na mwili unakuwa safi kabisa.

ਮਨਿ ਆਨੰਦੁ ਸਦਾ ਸੁਖੁ ਪਾਇਆ ਭੇਟਿਆ ਗਹਿਰ ਗੰਭੀਰੁ ॥
man aanand sadaa sukh paa-i-aa bhayti-aa gahir gambheer.
Meeting with the unfathomable God, the mind obtains bliss and eternal peace.
Kwa kukutana na Mungu asiyeeleweka, akili inapata furaha tele na amani ya milele.

ਸਚੀ ਸੰਗਤਿ ਬੈਸਣਾ ਸਚਿ ਨਾਮਿ ਮਨੁ ਧੀਰ ॥੧॥
sachee sangat baisnaa sach naam man Dheer. ||1||
By joining the Sangat, the True Congregation, the mind is comforted and consoled by the True Name of God.
Kwa kujiunga na Sangat, Ushirika wa Kweli, akili inafarijiwa na kutulizwa na Jina la Kweli la Mungu.

ਮਨ ਰੇ ਸਤਿਗੁਰੁ ਸੇਵਿ ਨਿਸੰਗੁ ॥
man ray satgur sayv nisang.
O’ my mind, serve and follow the true Guru’s teachings without any hesitation.
Ee akili yangu, tumikia na kufuata mafundisho ya Guru wa kweli bila kusita yoyote.

ਸਤਿਗੁਰੁ ਸੇਵਿਐ ਹਰਿ ਮਨਿ ਵਸੈ ਲਗੈ ਨ ਮੈਲੁ ਪਤੰਗੁ ॥੧॥ ਰਹਾਉ ॥
satgur sayvi-ai har man vasai lagai na mail patang. ||1|| rahaa-o.
By following the Guru’s teachings, God comes to dwell within, and the mind is not polluted by any kind of filth of vices.
Kwa kufuata mafundisho ya Guru, Mungu anakuja kuishi ndani mwako, na akili haichafuliwi na aina yoyote ya uchafu wa dhambi.

ਸਚੈ ਸਬਦਿ ਪਤਿ ਊਪਜੈ ਸਚੇ ਸਚਾ ਨਾਉ ॥
sachai sabad pat oopjai sachay sachaa naa-o.
One obtains honor here and in God’s court by attuning to the Divine Word. They alone are the truly righteous persons who meditate on Eternal God’s Name.
Mtu anapata heshima humu na katika mahakama ya Mungu kwa kumakinikia Neno Takatifu. Wao pekee kwa kweli ni watu wenye haki wanaotafakari kuhusu Jina la Mungu la milele.

ਜਿਨੀ ਹਉਮੈ ਮਾਰਿ ਪਛਾਣਿਆ ਹਉ ਤਿਨ ਬਲਿਹਾਰੈ ਜਾਉ ॥
jinee ha-umai maar pachhaani-aa ha-o tin balihaarai jaa-o.
I dedicate myself to those, who by shedding their ego, have realized God
Najiweka wakfu kwa wale, ambao kwa kuacha ubinafsi wao, wamegundua Mungu

ਮਨਮੁਖ ਸਚੁ ਨ ਜਾਣਨੀ ਤਿਨ ਠਉਰ ਨ ਕਤਹੂ ਥਾਉ ॥੨॥
manmukh sach na jaannee tin tha-ur na kathoo thaa-o. ||2||
The self-willed people do not know the True One; they find no shelter or supportanywhere.
Watu wenye wasia ya kibinafsi hawajui yule Mmoja wa kweli; hawapati makao au msaada wowote mahali popote.

ਸਚੁ ਖਾਣਾ ਸਚੁ ਪੈਨਣਾ ਸਚੇ ਹੀ ਵਿਚਿ ਵਾਸੁ ॥
sach khaanaa sach painnaa sachay hee vich vaas.
They whose spiritual food and honor (dress) is God’s Name, they always remain absorbed in the True One.
Wale ambao chakula cha kiroho na heshima (mavazi) ni Jina la Mungu, daima wanabaki wameungana na yule Mmoja wa Kweli.

ਸਦਾ ਸਚਾ ਸਾਲਾਹਣਾ ਸਚੈ ਸਬਦਿ ਨਿਵਾਸੁ ॥
sadaa sachaa salaahnaa sachai sabad nivaas.
They constantly praise the True One, and their mind is always remain absorbed in the Divine Word.
Mara kwa mara wanasifu yule Mmoja wa Kweli, na akili zao daima imezama katika Neno Takatifu.

ਸਭੁ ਆਤਮ ਰਾਮੁ ਪਛਾਣਿਆ ਗੁਰਮਤੀ ਨਿਜ ਘਰਿ ਵਾਸੁ ॥੩॥
sabh aatam raam pachhaani-aa gurmatee nij ghar vaas. ||3||
They recognize the divine soul (God) pervading everywhere and by following the Guru’s advice, their mind remains fixed in their own inner conscious.
Wanatambua roho takatifu (Mungu) akienea kote na kwa kufuata ushauri wa Guru, akili zao zinabaki thabiti katika fahamu yao ndani mwao.

ਸਚੁ ਵੇਖਣੁ ਸਚੁ ਬੋਲਣਾ ਤਨੁ ਮਨੁ ਸਚਾ ਹੋਇ ॥
sach vekhan sach bolna tan man sachha hoye .
The one who sees God everywhere and hear God speaking through all, his body and mind become true (resistant to the attacks of Maya and vices)
Yule ambaye anaona Mungu kila mahali na kusikia Mungu akizungumza kupitia wote, mwili wake na akili inakuwa ya kweli (inapinga mashambulizi ya Maya na maovu)

ਸਚੀ ਸਾਖੀ ਉਪਦੇਸੁ ਸਚੁ ਸਚੇ ਸਚੀ ਸੋਇ ॥
sachee saakhee updays sach sachay sachee so-ay.
They narrate true stories, give true sermons, and truth is the reputation of these truly honest people.
Wanasimulia hadithi za kweli, na kutoa mahubiri ya kweli, na ukweli ni sifa ya watu hao waaminifu wa kweli.

ਜਿੰਨੀ ਸਚੁ ਵਿਸਾਰਿਆ ਸੇ ਦੁਖੀਏ ਚਲੇ ਰੋਇ ॥੪॥
jinnee sach visaari-aa say dukhee-ay chalay ro-ay. ||4||
Those who have forgotten the True One are miserable-they depart wailing.
Wale ambao wamesahau yule Mmoja wa kweli wana taabu-wanaondoka wakiomboleza.

ਸਤਿਗੁਰੁ ਜਿਨੀ ਨ ਸੇਵਿਓ ਸੇ ਕਿਤੁ ਆਏ ਸੰਸਾਰਿ ॥
satgur jinee na sayvi-o say kit aa-ay sansaar.
Those who have not served (and followed the teachings of) the True Guru, why did they even bother to come into the world?
Wale ambao hawajatumikia (na kufuata mafundisho ya) Guru wa kweli, kwa nini hata walijisumbua kuja duniani humu?

ਜਮ ਦਰਿ ਬਧੇ ਮਾਰੀਅਹਿ ਕੂਕ ਨ ਸੁਣੈ ਪੂਕਾਰ ॥
jam dar baDhay maaree-ah kook na sunai pookaar.
Bound at the door of the demon of death, they are tortured (fear of death torture them) and nobody listens to their shrieks and cries.
Wakifungwa mlangoni pa pepo wa kifo, wanateswa (uoga wa kifo unawatesa) na hakuna mtu anayesikia vilio vyao.

ਬਿਰਥਾ ਜਨਮੁ ਗਵਾਇਆ ਮਰਿ ਜੰਮਹਿ ਵਾਰੋ ਵਾਰ ॥੫॥
birthaa janam gavaa-i-aa mar jameh vaaro vaar. ||5||
They waste their lives in vain and they keep going through many rounds of birth and death.
Wanaharibu maisha yao bure na wanaendelea kupitia mizunguko mingi ya kuzaliwa na kufa.