Swahili Page 304

ਜੋ ਗੁਰੁ ਗੋਪੇ ਆਪਣਾ ਸੁ ਭਲਾ ਨਾਹੀ ਪੰਚਹੁ ਓਨਿ ਲਾਹਾ ਮੂਲੁ ਸਭੁ ਗਵਾਇਆ ॥
jo gur gopay apnaa so bhala naahee panchahu on laahaa mool sabh gavaa-i-aa.
O’ saints, the one who slanders his Guru is not a good person. He loses the wealth of Naam that he was supposed to earn in this precious human life.
Ee Watakatifu, wale yule mwenye kuchochea Guru wake sio mtu mwema. Anapoteza utajiri wa Naam ambao alipaswa kupata katika maisha ya kibinadam.

ਪਹਿਲਾ ਆਗਮੁ ਨਿਗਮੁ ਨਾਨਕੁ ਆਖਿ ਸੁਣਾਏ ਪੂਰੇ ਗੁਰ ਕਾ ਬਚਨੁ ਉਪਰਿ ਆਇਆ ॥
pahilaa aagam nigam nanak aakh sunaa-ay pooray gur kaa bachan upar aa-i-aa.
Nanak proclaims that even according to the primary principle of shastras and vedas, the perfect Guru’s word is the most exalted for his disciples.
Nanak anatangaza kuwa hata kwa msingi mkuu wa Shastras na vedas, neno kamili la Guru ndilo kusifiwa sana na wafuasi wake.

ਗੁਰਸਿਖਾ ਵਡਿਆਈ ਭਾਵੈ ਗੁਰ ਪੂਰੇ ਕੀ ਮਨਮੁਖਾ ਓਹ ਵੇਲਾ ਹਥਿ ਨ ਆਇਆ ॥੨॥
gursikhaa vadi-aa-ee bhaavai gur pooray kee manmukhaa oh vaylaa hath na aa-i-aa. ||2||
The glory of the perfect Guru is very pleasing to his disciples, but the self-willeddo not get this opportunity to praise the Guru.||2||
Utukufu wa Guru kamili ni wa kupendeza kwa wafuasi wake, lakini wale wabinafsi, hapati fursahii ya kumwabudu Guru.

ਪਉੜੀ ॥
pa-orhee.
Pauree:

ਸਚੁ ਸਚਾ ਸਭ ਦੂ ਵਡਾ ਹੈ ਸੋ ਲਏ ਜਿਸੁ ਸਤਿਗੁਰੁ ਟਿਕੇ ॥
sach sachaa sabh doo vadaa hai so la-ay jis satgur tikay.
The eternal God is the greatest of all, but he alone realizes Him who is anointed (blessed) by the true Guru.
Mungu daima ni Mkuu wa yote, lakini yeye pekee ndiye kufahamuyule aliye pakwa mafuta (kubarikiwa) na Guru wa kweli.

ਸੋ ਸਤਿਗੁਰੁ ਜਿ ਸਚੁ ਧਿਆਇਦਾ ਸਚੁ ਸਚਾ ਸਤਿਗੁਰੁ ਇਕੇ ॥
so satgur je sach Dhi-aa-idaa sach sachaa satgur ikay.
He alone is the true Guru who meditates on the eternal God. The eternal God and true Guru are truly one.
Yeye pekee ndiye Guru wa kweli anayetafakari juu ya Mungu daima. Mungu daima na Guru wa kweli ndio wao kweli.

ਸੋਈ ਸਤਿਗੁਰੁ ਪੁਰਖੁ ਹੈ ਜਿਨਿ ਪੰਜੇ ਦੂਤ ਕੀਤੇ ਵਸਿ ਛਿਕੇ ॥
so-ee satgur purakh hai jin panjay doot keetay vas chhikay.
He alone is the true Guru who has resolutely controlled his five evil passions.
Yeye pekee ndio guru wa kweli ambaye kwa makataa anadhibiti harara zake tano ovu.

ਜਿ ਬਿਨੁ ਸਤਿਗੁਰ ਸੇਵੇ ਆਪੁ ਗਣਾਇਦੇ ਤਿਨ ਅੰਦਰਿ ਕੂੜੁ ਫਿਟੁ ਫਿਟੁ ਮੁਹ ਫਿਕੇ ॥
je bin satgur sayvay aap ganaa-iday tin andar koorh fit fit muh fikay.
Those who do not follow the true Guru’s teachings but proclaim themselves as great, are filled with falsehood and their listless faces are always cursed.
Wale wambao hawayafuati mafunzo ya Guru wa kweli lakini wananadi wao wenyewe kuwa wakuu, wanajazwa na uong na nyuso zao zisizokwisha kamwe zinalaaniwa.

ਓਇ ਬੋਲੇ ਕਿਸੈ ਨ ਭਾਵਨੀ ਮੁਹ ਕਾਲੇ ਸਤਿਗੁਰ ਤੇ ਚੁਕੇ ॥੮॥
o-ay bolay kisai na bhaavnee muh kaalay satgur tay chukay. ||8||
Nobody likes what they say, and they are held in disgrace because they are separated from the true Guru.||8||
Hakuna anayependezwa na wanachokisema, na wanashikwa na aibu kwa sababu wametengana na Guru wa kweli.

ਸਲੋਕ ਮਃ ੪ ॥
salok mehlaa 4.
Salok, Fourth Guru:
Salok, Guru wa nne:

ਹਰਿ ਪ੍ਰਭ ਕਾ ਸਭੁ ਖੇਤੁ ਹੈ ਹਰਿ ਆਪਿ ਕਿਰਸਾਣੀ ਲਾਇਆ ॥
har parabh kaa sabh khayt hai har aap kirsaanee laa-i-aa.
The entire world is like the farm of God and He has sent the mortals to to perform their duty (to meditate and gather the wealth of Naam).
Ulimwengu wote ni kama shamba la Mungu na amewatuma binadamu kutenda zamu zao( kutafakari na kukusanya utajiri wa Naam)

ਗੁਰਮੁਖਿ ਬਖਸਿ ਜਮਾਈਅਨੁ ਮਨਮੁਖੀ ਮੂਲੁ ਗਵਾਇਆ ॥
gurmukh bakhas jamaa-ee-an manmukhee mool gavaa-i-aa.
By God’s grace, the Guru’s follower has grown Naam in it, but the self-conceited has wasted his life in vain, as if he has wasted even the seed.
Kwa neema za Mungu, mfuasiwa Guru amestawi Naam ndani yake, lakini yule mbinafsi ameyapoteza maisha yake bure, ni kama pia amepoteza hata mbegu.

ਸਭੁ ਕੋ ਬੀਜੇ ਆਪਣੇ ਭਲੇ ਨੋ ਹਰਿ ਭਾਵੈ ਸੋ ਖੇਤੁ ਜਮਾਇਆ ॥
sabh ko beejay aapnay bhalay no har bhaavai so khayt jamaa-i-aa.
Everyone grows the field (performs deeds) for their own benefit, but only that field grows good (effort is rewarded), which is approved by God.
Kila mtu anapanda mimea ( anafanya matendo)kwa manufaa yake mwenyewe, lakini hilo shamba linaota vyema (juhudi hutuzwa), lililokubaliwa na Mungu.

ਗੁਰਸਿਖੀ ਹਰਿ ਅੰਮ੍ਰਿਤੁ ਬੀਜਿਆ ਹਰਿ ਅੰਮ੍ਰਿਤ ਨਾਮੁ ਫਲੁ ਅੰਮ੍ਰਿਤੁ ਪਾਇਆ ॥
gursikhee har amrit beeji-aa har amrit naam fal amrit paa-i-aa.
The Guru’s disciplessow only the seed of the God’s ambrosial nectar, and they receive the immortalizing reward of God’s Name
Wafuasi wa Guru wanaota ile mbegu ya maji tamu ya Mungu, na wanapokeatuzo la uzima wa milele wa jina la Mungu.

ਜਮੁ ਚੂਹਾ ਕਿਰਸ ਨਿਤ ਕੁਰਕਦਾ ਹਰਿ ਕਰਤੈ ਮਾਰਿ ਕਢਾਇਆ ॥
jam choohaa kiras nit kurkadaa har kartai maar kadhaa-i-aa.
Everyday the fear of death keep nibbling at the life of the self-conceiteds like a mouse, but the Creator has destroyed this fear for the Guru’s followers.
Kila siku, hofu ya kifo inatafuna maisha ya wabinafsi kama kipanya, lakini Muumba ameangamiza hofu hii kwa ajili ya wafuasi wake Guru.

ਕਿਰਸਾਣੀ ਜੰਮੀ ਭਾਉ ਕਰਿ ਹਰਿ ਬੋਹਲ ਬਖਸ ਜਮਾਇਆ ॥
kirsaanee jammee bhaa-o kar har bohal bakhas jamaa-i-aa.
By the grace of God, the efforts of Guru’s followers are richly rewarded and they have gathered huge crop (wealth) of God’s grace.
Kwa neema ya Mungu, juhudi za wafuasi wake Guru zinatuzwa vyema na wamesanya nafaka kuu (utajiri) ya neema ya Mungu.

ਤਿਨ ਕਾ ਕਾੜਾ ਅੰਦੇਸਾ ਸਭੁ ਲਾਹਿਓਨੁ ਜਿਨੀ ਸਤਿਗੁਰੁ ਪੁਰਖੁ ਧਿਆਇਆ ॥
tin kaa kaarhaa andaysaa sabh laahi-on jinee satgur purakh Dhi-aa-i-aa.
Those who have contemplated on the true Guru, God has removed all their dread and doubt.
Wale waliodhamiria juu ya Guru wa kweli, Mungu amewaondolea woga na shaka yote.

ਜਨ ਨਾਨਕ ਨਾਮੁ ਅਰਾਧਿਆ ਆਪਿ ਤਰਿਆ ਸਭੁ ਜਗਤੁ ਤਰਾਇਆ ॥੧॥
jan naanak naam araaDhi-aa aap tari-aa sabh jagat taraa-i-aa. ||1||
O, Nanak, the devotee who has meditated on God’s Name has saved himself and helped the entire world to cross over the worldly ocean of vices.||1||
Ee Nanak, mtawa aliyetafakari juu ya jina la Mungu amejiokoa na kusaidia dunia mzima kuvuka kutoka kwa bahari ya maovu ya kidunia

ਮਃ ੪ ॥
mehlaa 4.
Salok, Fourth Guru:
Salok, Guru wa nne:

ਸਾਰਾ ਦਿਨੁ ਲਾਲਚਿ ਅਟਿਆ ਮਨਮੁਖਿ ਹੋਰੇ ਗਲਾ ॥
saaraa din laalach ati-aa manmukh horay galaa.
The self-willed person, being engrossed in greed, keeps wasting his entire day in talks other than God’s Name,
Mtu binafsi, kwa kujitosa katika tamaa, hukaa kupoteza siku yake yote kwa semi badala ya Jina la Mungu.

ਰਾਤੀ ਊਘੈ ਦਬਿਆ ਨਵੇ ਸੋਤ ਸਭਿ ਢਿਲਾ ॥
raatee ooghai dabi-aa navay sot sabh dhilaa.
At night, he is over-powered by sleep, and all his nine faculties are weakened.
Usiku, anazidiwa nguvu na usingizi, na vitivo vyake tisa zinakuwa dhaifu.

ਮਨਮੁਖਾ ਦੈ ਸਿਰਿ ਜੋਰਾ ਅਮਰੁ ਹੈ ਨਿਤ ਦੇਵਹਿ ਭਲਾ ॥
manmukhaa dai sir joraa amar hai nit dayveh bhalaa.
Such self-willed persons are dominated by their spouses and are nice to them.
Watu kama wale wabinafsi, wanatawaliwa na wenzi wao na wako jamili kwao.

ਜੋਰਾ ਦਾ ਆਖਿਆ ਪੁਰਖ ਕਮਾਵਦੇ ਸੇ ਅਪਵਿਤ ਅਮੇਧ ਖਲਾ ॥
joraa daa aakhi-aa purakh kamaavday say apvit amayDh khalaa.
Those who so blindly follow the dictates of their spouses, (instead of acting in consultation), are generally filthy, ignorant and foolish.
Wale wanaofuata amri za wenzi wao kwa upofu, (badala ya kutenda kwa mazungumzo), huwa wachafu, wapumbavu na wajinga.

ਕਾਮਿ ਵਿਆਪੇ ਕੁਸੁਧ ਨਰ ਸੇ ਜੋਰਾ ਪੁਛਿ ਚਲਾ ॥
kaam vi-aapay kusuDh nar say joraa puchh chalaa.
Such immoral persons engrossed in lust, follow the command of their spouses.
Watu wazinifu kama wale waliojitosa katika uchu, wanafuata amri za wenzi wao.

ਸਤਿਗੁਰ ਕੈ ਆਖਿਐ ਜੋ ਚਲੈ ਸੋ ਸਤਿ ਪੁਰਖੁ ਭਲ ਭਲਾ ॥
satgur kai aakhi-ai jo chalai so sat purakh bhal bhalaa.
On the other hand, one who follows the command of true Guru is the best of all.
Kwa upande mwingine, mwenye kufuata amri za Guru wa kweli ni bora kwa yote.

ਜੋਰਾ ਪੁਰਖ ਸਭਿ ਆਪਿ ਉਪਾਇਅਨੁ ਹਰਿ ਖੇਲ ਸਭਿ ਖਿਲਾ ॥
joraa purakh sabh aap upaa-i-an har khayl sabh khilaa.
He Himself has created all women and men; God Himself has set up this play.
Yeye mwenyewe ameumba wake and waume wote; Mungu mwenyewe amepanga mchezo huu.

ਸਭ ਤੇਰੀ ਬਣਤ ਬਣਾਵਣੀ ਨਾਨਕ ਭਲ ਭਲਾ ॥੨॥
sabh tayree banat banaavanee naanak bhal bhalaa. ||2||
Nanak says: O’ God, all is Your creation and arrangement, and whatever You do is for the good. ||2||
Nanak anasema: Ee Mungu, yote ni Maumbo yako na mapangilio na chochote unafanya ni kwa uzuri.

ਪਉੜੀ ॥
pa-orhee.
Pauree:

ਤੂ ਵੇਪਰਵਾਹੁ ਅਥਾਹੁ ਹੈ ਅਤੁਲੁ ਕਿਉ ਤੁਲੀਐ ॥
too vayparvaahu athaahu hai atul ki-o tulee-ai.
O’ God, how can one estimate Your virtues? You are unfathomable and You have no worries
Ee Mungu, ni vipi mmoja afahamu maadili yako? Hauwezi kueleweka na huna hofu.

ਸੇ ਵਡਭਾਗੀ ਜਿ ਤੁਧੁ ਧਿਆਇਦੇ ਜਿਨ ਸਤਿਗੁਰੁ ਮਿਲੀਐ ॥
say vadbhaagee je tuDh Dhi-aa-iday jin satgur milee-ai.
They who have met the True Guru and who meditate on You are very fortunate.
Wale ambao wamekutana na Guru wa Kweli na ambao wanatafakari kukuhusu Wewe wamebahatika mno.

ਸਤਿਗੁਰ ਕੀ ਬਾਣੀ ਸਤਿ ਸਰੂਪੁ ਹੈ ਗੁਰਬਾਣੀ ਬਣੀਐ ॥
satgur kee banee sat saroop hai gurbaanee banee-ai.
The word of true Guru is the embodiment of God and whoever lovingly meditates on God, merges with Him
Neno lake Guru wa kweli ni ishara ya Mungu na yeyote ambaye kwa mapendo anatafakari juu ya Mungu anaungana naye .

ਸਤਿਗੁਰ ਕੀ ਰੀਸੈ ਹੋਰਿ ਕਚੁ ਪਿਚੁ ਬੋਲਦੇ ਸੇ ਕੂੜਿਆਰ ਕੂੜੇ ਝੜਿ ਪੜੀਐ ॥
satgur kee reesai hor kach pich bolday say koorhi-aar koorhay jharh parhee-ai.
Emulating true Guru, some false gurus utter indefensible and false words, but they fall from grace due to their falsehood.
Kufuata mfano wa Guru wa kweli, guru wengine bandia wanasema semi za uongo lakini wanashuka kutoka kwa neema kwa ulaghai wao.

ਓਨ੍ਹ੍ਹਾ ਅੰਦਰਿ ਹੋਰੁ ਮੁਖਿ ਹੋਰੁ ਹੈ ਬਿਖੁ ਮਾਇਆ ਨੋ ਝਖਿ ਮਰਦੇ ਕੜੀਐ ॥੯॥
onHaa andar hor mukh hor hai bikh maa-i-aa no jhakh marday karhee-ai. ||9||
They do not speak their mind and ultimately they painfully waste away in pursuit of Maya (worldly wealth).||9||
Hawaneni fikira zao na mwishowe kwa uchungu wanapotea kwa kufuata Maya ( utajiri wa dunia).

ਸਲੋਕ ਮਃ ੪ ॥
salok mehlaa 4.
Salok, Fourth Guru:
Salok, Guru wa nne:

ਸਤਿਗੁਰ ਕੀ ਸੇਵਾ ਨਿਰਮਲੀ ਨਿਰਮਲ ਜਨੁ ਹੋਇ ਸੁ ਸੇਵਾ ਘਾਲੇ ॥
satgur kee sayvaa nirmalee nirmal jan ho-ay so sayvaa ghaalay.
To follow the true Guru’s teachings is an immaculate deed, but only the person who has a pure mind (free from the vices) can perform this difficult task.
Kufuata mafunzo ya Guru wa kweli ni vizuri hakika, lakini ni mtu mwenye fikira safi ( huru kutoka kwa maovu) anaweza kutenda jukumu hili ngumu.

ਜਿਨ ਅੰਦਰਿ ਕਪਟੁ ਵਿਕਾਰੁ ਝੂਠੁ ਓਇ ਆਪੇ ਸਚੈ ਵਖਿ ਕਢੇ ਜਜਮਾਲੇ ॥
jin andar kapat vikaar jhooth o-ay aapay sachai vakh kadhay jajmaalay.
Those who have deceit, vices and falsehood within, God himself casts them out, like persons afflicted with contagious disease.
Wale walio na hila, maovu na udanganyifu ndani mwao,Mungu Mwenyewe huwatupa nje kama watu wanaougua gonjwa la kuambukiza.